Hii app ya mikopo ni kweli au utapeli?

Hii app ya mikopo ni kweli au utapeli?

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
8,846
Reaction score
7,904
Mikopo yao inaanzia million2 mpaka 10 ila wanataka uweke kianzio ndio upewe mkopo
Nimekuwa na wasiwasi anaye wafahamu tafadhari
 

Attachments

Kianzio wanataka bei gan?

Formula ya msingi ni kujua kwenye maisha hakuna jambo lenye manufaa litapatikana kirahisi rahisi tu.
 
Kianzio wanataka bei gan?

Formula ya msingi ni kujua kwenye maisha hakuna jambo lenye manufaa litapatikana kirahisi rahisi tu.
495,000 wanakupa 2,000,000
550,000 wanakupa 4,000,000 kwa mjibu wa maelezo ktk app yao
 
hakuna mkopo hapo wapigaji hao, tumia icho kianzio kufanya mambo yako mkuu
 
usi sahau kuleta mrejesho hapa katika jukwaa, kutu habarisha yaliyo jiri...,
 
Back
Top Bottom