Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Samahani naomba anaejua jinsi na taratibu za kupata passport, kuanzia step ya mwanzo hadi ya mwisho na vigezo na mashati yake kama yapo. Naomba nisaidiwe.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwizi alimuibia mwenye duka shilingi laki moja baadae akarudi na hiyo pesa amanunua vitu vya elfu tisini na mwenye duka bila kujua akamrudishia chanji yake ya elfu kumi Je mwenye duka alipoteza...
2 Reactions
66 Replies
6K Views
Giant Arab Satellite television Al Jazeera has deployed former BBC editors Tido Mhando and Joseph Warungu to steer its Swahili Service Channel set to launch in 2012, a move set to create a seismic...
11 Reactions
107 Replies
15K Views
Ulishawahi kujiuliza kwa nini Mbowe hajawahi kulala selo wala kukamatwa na Askari wetu ingawaje yeye ndiye Big boss wa chadema? Hata kama akiwa na shida na vyombo vyetu vya Usalama hufika mwenyewe...
1 Reactions
5 Replies
945 Views
Diwani wa kata ya Kyimo na mkuu wa shule ya Sekondari Kyimo wamefanya mkutano leo tarehe 23/01/2018 na wazazi wenye wanafunzi hapo shuleni wakilazimisha kuchangia TZS. 70,000/= kwa ajili ya...
3 Reactions
112 Replies
11K Views
Habari wanaJF, Shirika la umeme nchini TANESCO limewakatia watu 1600 waliojiunganishia umeme kinyemela katika kipindi cha miezi mitatu ambao wamesababisha hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 1.9...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauliza tu, Huu mradi umeishia wapi?? Mbona tumeshajipanga kuzichangamkia fursa jamani Msitufanyie hivyo.
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Nina rafiki angu ambaye tumejuana nae mda mrefu sasa anataka kuja Tanzania tafadhali kwa yeyote anayefahamu utaratibu wa kupata visa ya Tanzania pamoja na gharama zake anifahamishe tafadhali
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hbr Kuna mzee mmoja mtaani alikuwa mlevi sanaaaa ,alibahatika kupata mwanamke mpole ,mcheshi mkarimu saaana watu wengi mtaani walimpenda ,yule mdada alikuwa around 28 hazidi 32yrs Mwanaume...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salamu,kwa miaka nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu mfumo wa hawa jamaa wa kuwasha king'amuzi chao. Kusoma chaneli kinachukua zaidi ya dakika kumi,ukiwa umeunganishwa na extra view ndiyo...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jjamii,jinsia,wazee na watoto Mh. Ummy Mwalimu amezindua huduma za mashine ya CT – SCAN katika hospitali ya Rufaa ya kanda ya Ziwa Bugando jijini Mwanza,ambazo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
katika pita pita nimekutana na hii habati juu ya kuyeyuka barafu za greenland. wengi tunajua kua kuongezeka kwa joto duniani ndio chanzo cha kuyeyuka kwa barafu hiyo, but imegundulik vinginenvyo...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Wanaume watatu wakazi wa kijiji cha Katete nchini Zambia wamezua mshangao kwa watu baada ya kupelekwa kwenye Kituo cha wagonjwa wa Kipindupindu wakiwa wamezidiwa kwa kuumwa wakihofiwa kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
1.Siwezi kununua gari kwa mkopo. 2.Huyo bwana wake ni mkubwa kuliko yeye, alifuata pesa tuu! 3.Iphone kitu gani, simu simu tuu bora mawasiliano. 4.Siwezi kula chakula cha kwenye fridge...
8 Reactions
28 Replies
7K Views
Tatizo ni kwamba neno 'Uchochezi' halijatamkwa mahali popote kwenye sheria hizo wala kwenye Sheria ya Utangazaji 1993 ambayo ndio msingi wa kuundwa kwa sheria hizo. Wala kwenye Sheria ya Mamlaka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanabodi,Ijumaa Kareem. Hivi kuna ubaya ( dhambi) kwa Mkristo kumiliki mali (utajiri) ambao either ni Wa kurithi au umeupata kwa juhudi zako mwenyewe? Naona kama utajiri na Ukristo havina...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau, sheria mpya ya mitandao inapiga marufuku kupiga picha ama video na kuisambaza mitandaoni. Matumizi ya Sheria hii ilitaka kutumiwa kwa yule kijana aliepiga picha za hostel ya JPM iliyopata...
8 Reactions
92 Replies
11K Views
Tanzania inaongoza kwa Nchi za Afrika kama jedwali linavyoonesha hapo juu. wale wachawi wa Nchi hii ambao mmetumwa kupinga kila kitu karibuni..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nadhani Polisi wanafanya mzaha kwenye mambo serious. Juzi Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, SACP Gilles Muroto alisema kwamba walipokamata Nabii Tito walimpeleka hospitali ya Mirembe na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumekuwapo na ukengemfu Kidogo kuhusu hii alama, wengi wetu tukiishia kusema ni masonic sign. Ila ukipata kujisomea kwenye Lugha za alama ambazo ni maarufu kwa jamii ya viziwi, lugha alama hii...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom