Bomba la mafuta la tanga-Uganda

Bomba la mafuta la tanga-Uganda

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
2,026
Reaction score
3,113
Nauliza tu,

Huu mradi umeishia wapi?? Mbona tumeshajipanga kuzichangamkia fursa jamani

Msitufanyie hivyo.
 
Zubaa wenzio wapo karibia wanamaliza robo ya kwanza. Huoni malori yanapita na mabomba. Nina jamaa yupo kwenye huo mradi.

Tatizo akina Zitto hawatoi hizi taarifa wamekomaa na takwimu mazuri yote hawawaambii wananchi.
 
Back
Top Bottom