Kwanini Mbowe huwafundishi CHADEMA wako ustaarabu?

Kwanini Mbowe huwafundishi CHADEMA wako ustaarabu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Ulishawahi kujiuliza kwa nini Mbowe hajawahi kulala selo wala kukamatwa na Askari wetu ingawaje yeye ndiye Big boss wa chadema? Hata kama akiwa na shida na vyombo vyetu vya Usalama hufika mwenyewe kituoni bila ya shurti na sijawahi kuona akifwatwa kukamatwa na kubebbwa msobe msobe kama watu wake, sasa kwanini hawafundishi chadema wake ustaarabu?
 
Mbeya tunawachora,malizeni kesi ya Sugu mnavyotaka,NASI TUTAWAPA MAJIBU MKIMALIZA HUKUMU.
 
a89c2d02af66eb961261eecff7633754.jpg
 
Ustaarabu haufundishwi ukiwa mtu mzima bali watu hukua na ustaarabu katika jamii zao.
 
Mbowe ni very smart Leader, anapinga kwa hoja sio za kejeli, dhihaka au kubeza hivyo siku zote ata survive bila hekaheka na dola.
 
ungemwambia mwenyekiti wako kwanza aache kuua ndo watu wawe wastaarabu
 
Back
Top Bottom