Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa nafuatilia passport tangu mwezi wa saba mwaka huu, kila siku napigwa kalenda. Passport ilitakiwa kuchukuliwa mwezi wa nane lakini mpaka leo bado. Ukifuatilia unaambiwa nenda makao makuu...
3 Reactions
96 Replies
13K Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa akili upya katika Taasisi ya Afya ya Akili ya Mirembe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa najiuliza sana. Kuna mwenye elimu hii anieleweshe? Mwanamke mwenye ujauzito sijawahi kumshuhudia akidondoshwa na mapepo.......
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Neno La Leo: Mwana Wa Gavana Anapotenda Kosa.. Ndugu zangu, Kuna kisa cha mwana wa gavana katika Misri ya Kale. Mwana yule alitembea akijivunia cheo cha baba yake. Akajawa kiburi kufikia siku moja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wagenzi wa fasihi, kama mlikuwa miongoni mwa waliotazama mazishi ya Marehemu Mzee wetu Kingunge Ngombale Mwiru, bila shaka Msanii mahiri wa ugani / tambo, Mrisho Mpoto aligusa nyoyo za...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, uzazi wa watoto mapacha umeonekana kuvutia wengi huku baadhi ya wanandoa wakijaribu kutumia njia za kisasa kuhakikisha wanazaa mapacha. Lakini miongoni mwa jamii ya...
7 Reactions
128 Replies
28K Views
Habari za muda wakuu, Natumaini nyote mnaanza mapumziko ya mwisho wa wiki salama, Turejee kwenye mada tajwa. Ni kwa muda mrefu sana tumekuwa tukisikia maswala ya kiunyanyasaji yakifanywa na...
18 Reactions
88 Replies
8K Views
Hivi tumeshajiuliza tulivyomkamata yusuf msnji tumepata hasara kiasi gani na gaida kiasi hani? Je kodi kiasi gani tumepoteza? Lengo hasa lilikuwa nini? Tumemkamata bro Ruge na Bohora sawa. Ila...
0 Reactions
6 Replies
819 Views
Hali ni tete ibada ya toba imepigwa chini waumini wameamua kuaimba mwanzo mwisho.. Jpli ilio pita iliamuliwa na uongozi wa kanisa Luth Mtwara jpli ya leo iwe siku ya toba kwa yale yalitokea 2016...
1 Reactions
106 Replies
9K Views
Wachawi karibu wote ni shida tupu. Wanakula wanavaa na kulala kwa masharti sana japokuwa wengine wanakuwa na pesa. Pesa zao huwa zinawatesa sana! Mara usivae chupi.Mara usilala kitandani.Mara...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Duniani kuna mengi hasa maswala yahusuyo hela!.Watu hufurukuta katika kila idara mpk kuroga. Pindi uendapo kwa mganga unakutana na masharti kemkemi!Mara usifanye hivi.Mara fanya vile. Shida tu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hili tatizo sugu naona halitakuja kutatulika kwa utashi wa serikali. Wameona kutoa umeme wa uhakika siyo kipaumbele lakini ki ukweli hili jambo linatuumiza sana. Kuna wengine shughuli zetu...
0 Reactions
6 Replies
911 Views
Happy Birth Day: Bob Marley. Robert Nesta Marley , maarufu zaidi kwa jina la Bob Marley au alizaliwa nchini Jamaika tarehe 6-2-1945 kwa mama Mjamaika--Cedella Malcolm Booker, mwenye asili ya...
5 Reactions
12 Replies
5K Views
Kama uko Humu na unaona ujumbe huu nakuhakikishia, hustaili kugeuzwa geuzwa hivyo, ukaguzi ukaguzi, Amka mpendwa Kujiajiri kunalipa Amkaaaaaaaaa!!!!!!!! Kajiajiri acha kutembea na vyeti
1 Reactions
20 Replies
2K Views
KUTOKA NGORONGORO: Faru Ndugai ameua ng’ombe wawili kwenye vijiji vya jirani, alitoka nje ya kreta. Faru Ndugai amechukua nafasi ya Faru John kwa kuwa mnyama mkorofi zaidi na mwenye kupenda kuzua...
4 Reactions
50 Replies
9K Views
Swali hili nimelilenga kwa ndugu zangu waislamu, mwenye majawabu tafadhali!
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ukimmezesha mgonjwa maneno ukasema ambayo hakusem akifa utapata laana?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao. kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya...
30 Reactions
239 Replies
33K Views
habari wakuu... moja kwa moja kwenye mada.. majuzi niliweka uzi kutaka kupata ushauri jinsi ya kuondoa msongo wa mawazo nilionao,wadau mbali mbali walichangia na kunipa mbinu za kuondokana na hali...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Back
Top Bottom