DSTV wana mfumo wa kizamani?


Mnondwe

Mnondwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
3,010
Likes
1,974
Points
280
Mnondwe

Mnondwe

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
3,010 1,974 280
Salamu,kwa miaka nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu mfumo wa hawa jamaa wa kuwasha king'amuzi chao.
Kusoma chaneli kinachukua zaidi ya dakika kumi,ukiwa umeunganishwa na extra view ndiyo balaa kabisa.
Azam na startimes wao ukiwasha tu sekunde kumi unaanza kuona.
Je ni mfumo wa kikoloni au nini wajuzi.
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
7,742
Likes
8,329
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
7,742 8,329 280
Ushawahi ona kukiwa na wingu au mvua ikinyesha Dstv inakata mawasiliano kama zilivyo hizo Azam na hao Wachina?
 
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2014
Messages
3,898
Likes
2,151
Points
280
LIKE Niku ADD

LIKE Niku ADD

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2014
3,898 2,151 280
kwa elimu yangu ndogo naamini kuwa; mfumo wa satellite wanaotumia dstv ni wakujihami kila dakika code zinbadilika kutoka makao makuu ili wle wachakachuaji washindwe kufanya yao. pia channels zao ni nyingi na zina jiupdate kila muda kwenye system mfano ule mfumo wa EPG kwenye software yao unafanya decorder ichelewe pia kuwaka
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
5,568
Likes
5,231
Points
280
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
5,568 5,231 280
Ushawahi ona kukiwa na wingu au mvua ikinyesha Dstv inakata mawasiliano kama zilivyo hizo Azam na hao Wachina?
Ndio mvua ikinyesha Dstv inakata inaanza kuscratch scratch mwishoni inaanza kublink namba kwenye interfacew decorder
 
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
7,742
Likes
8,329
Points
280
Frank Wanjiru

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
7,742 8,329 280
Ndio mvua ikinyesha Dstv inakata inaanza kuscratch scratch mwishoni inaanza kublink namba kwenye interfacew decorder
Nina almost miaka7 tangu nianze kutumia Dstv kiukweli sijakumbana na tatizo la kuscratch mvua ikinyesha.
 
bepari la kichaga

bepari la kichaga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2014
Messages
435
Likes
361
Points
80
Age
25
bepari la kichaga

bepari la kichaga

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2014
435 361 80
Dstv so much more
 
MduduWashawasha

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Messages
1,620
Likes
460
Points
180
MduduWashawasha

MduduWashawasha

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2008
1,620 460 180
Shida zaidi ukiondoa football,news na michezo mingine,vipindi vingine ni program za kizaman kwel kwel
 
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Messages
4,845
Likes
3,581
Points
280
Age
27
Kete Ngumu

Kete Ngumu

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2014
4,845 3,581 280
Natafuta wale wataalamu wa kuongeza chanel ktk decoda bila kujali wanaiba au halali
 
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
3,274
Likes
1,579
Points
280
M

MWANAKA

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
3,274 1,579 280
Bado nalia na bei zao tu mambo mengine nawakubali sana sijawahi juta kuwa nao
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
11,627
Likes
4,418
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
11,627 4,418 280
Ushawahi ona kukiwa na wingu au mvua ikinyesha Dstv inakata mawasiliano kama zilivyo hizo Azam na hao Wachina?
Me natumia Hd dstv huku mvua ikimwaga nazima nawasha azam iko safi 100%
Inapendeza sana
 

Forum statistics

Threads 1,214,963
Members 462,951
Posts 28,529,915