Msaada

Msaada

Vanree

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
222
Reaction score
177
Samahani naomba anaejua jinsi na taratibu za kupata passport, kuanzia step ya mwanzo hadi ya mwisho na vigezo na mashati yake kama yapo. Naomba nisaidiwe.
 
Nenda Uhamiaji.
Jiandae na barua ya mwaliko na tiketi ya kwenda na kurudi.cheti cha kuzaliwa chako na cha mzazi.barua za wadhamini na picha n.k.
 
Duuuuuh ivyo vyote sina mm nilikua nawaza nitafte passport tuu ili nikae nayo kwa future use, kumbe mpaka uwe na safari Duuuuuh
 
Ebu pumzika nyumbani.ufanye mambo mengine.usiende Uhamiaji.ukienda wa moto utarudi wa baridi
Hahahahahaaaa kwa mahitaji hayo kweli inabidi tu nipumzike nyumbani, maana nilijua naweza kua nayo tuu mpaka ntakapopata safar ndio niitumie, na ingenishawish kutafta izo safar [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
kama una ela ya kupitia mlango wa nyuma nenda tu.mshahara hautoshi itapatikana namna tu
 
Hahahahahaaaa kwa mahitaji hayo kweli inabidi tu nipumzike nyumbani, maana nilijua naweza kua nayo tuu mpaka ntakapopata safar ndio niitumie, na ingenishawish kutafta izo safar [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Watakwaambia.miezi miwili kabla ya safari.ndo uende ukaombe.
 
Back
Top Bottom