kwanza kabisa napenda kumpa pole rais wangu kwa majukumu mazito aliyo nayo, baada ya pole hiyo naomba nimpe majukumu mengine kwani ndo wajibu wake kutatua matatizo ya wananchi wake
Hoja yangu...
Salaam wazee wenzangu
Tangu Jana natafuta App ya Jf kule play store siipati naambiwa item not found
Nataka kuinstall kwenye simu yangu mpya ya Infinix
Je tatizo ni nini?
Niliuziwa line ya halotel y kiuanafunzibmwaka jana, kama ilivyo ada nilikuwa naweka kila mwezi muda w maongezi wa kuanzia Tsh 10,000++ accoarding to my matumizi, lakini cha kushangaza kila...
Hi members, ni matumaini yangu mko salama salmin.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, binafsi natabiri yafuatayo katika ulimwengu huu.
.
1. Kizazi cha mwanadamu kitaanza kua replaced na kizazi...
Wasalaam
Baada ya kukutana na biashara hii yenye kila sababu ya kuifanya nikaona nisiwe mchoyo basi niifikishe kwa watanzania wenzangu free of charge ili watu wanaojua kutumia fursa waikamatie...
Habari za weekend wadau,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimepata fursa ya kwenda England kujitolea katika nyanja mbali mbali kwa muda wa mwaka mmoja.
Kwa mwenye uzoefu wa haya mambo aje...
Mzuqa Wanajamvi
Nimedokezewa muda siyo mrefu bonge la Fursa huko kwa wanaume wagumu duniani Ujerumani.
Ni hivi Audi, Benz, VW na BMW kwa kushirikiana wanahitaji watu wa kutosha kufanya utafiti...
Leo Taarifa ya habari Clouds TV saa 1.30 usiku wameonyesha kampeni za Ubunge za chama cha CUF na CCM, Je CHADEMA hawakufanya kampeni? Au mimi sikuona?
Kama mnafikia huko mkumbuke kuna maisha...
Vifaa ni vichache watu wachache muda wa kazi mfupi. Wananchi wanapanga foleni tangu asubuhi ikifika saa kumi na nusu muda umeisha kwanza zoezi linaenda taratibu utafikiri uko kwa daktari wa...
Mtu unadownloda kitu cha mb 8.point ndani ya saaa moja. Kama sio kumaliziana charge tu huku.
Zamani mlikuwa poa Sana na niliwasifia mnoo. Zaidi niliwashawishi watu zaidi ya kumi kujiunga na...
Magazeti ya Uhuru na Mzalendo yaongeza bei kutoka 800 mpaka 1000.
Viongozi wa juu wa magazeti hayo walisema Pamoja na mambo Mengine sababu kubwa ya kuongeza bei ni kujaribu kwenda sambamba na...
Wasalaam wanajamvi,
Binadamu wamekuwa wafuatiliaji wa mambo tena kwa ujasiri mkubwa hata kufikia hatua wengine kwenda mwezini.
Vipi hili suala la kuwepo kwa uchawi,majini na vihusiani vingine...
Wakuu habari...
Nilishahi kuja kuomba ushauri juu ya dadaangu kutumia cheti changu cha form 4, niliwaelewa SNA nikamshauri kwamba ataniweka pabaya akitumia cheti changu na isitoshe mwakani...
Esmond Bradley-Martin
Mwanaharakati na mchunguzi wa biashara ya meno ya tembo duniani, Esmond Bradley-Martin ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu shingoni akiwa nyumbani kwake jijini Nairobi, Kenya...
Natangulizaa shukuran wakuu,naomba kujuzwa kiundani Kwa yeyote mwenye kufahamu,je Kwa mwanafunzi hili limekaaje?maana mwenyekit wa mtaa wetu anachagua watu wakalinde usiku ingali Mimi no...
Habari wanaJF,
Mi ni mmoja wapo wa wanachama wa NHIF, nikiwa mfanyakazi wa serikali kuu.
Leo hii mmoja wa wategemezi wangu anaumwa so akaenda hospital kupata tiba. Kufika kule akaambiwa kadi...
Katika zunguka zunguka ya bank aisee usijiloge ukaenda tawi la Mbaliz road soko la zaman uhindini mkabala IPO.
Aisee pale bank ni shida dilisha zipo nne ila hazijawai kuwa zote kazini,mteja...
Jana line ya tigo kwangu muda mwingi ilikuwa inaandika emergency muda mwingi. Na jioni wakatuma msg kuomba radhi.
Leo line ya voda ipo emergency muda mwingi,mwenye taarifa atujuze nini...
Katika taarifa ya habari ya saa mbili Azam tv wameripoti kuwa huko Njombe kuna binti mdogo amedondoka kutoka kwenye paa la nyumba usiku wa manane.
Inasemekana kijana anayeishi katika nyumba hiyo...