Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani naombeni mwenyekufahamu utaratibu upi niufuate ili nisiwe raia wa Tz. Ingawa mimi ni Mtz wa asili kabisa ila imetokea kutokuipenda kabisa hii nchi naomba mnielewe nasemahaya kwa dhati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Amani vipi ndugu zangu wa jf mambo byee kabisa, basi safi. sasa ngoja niende kwenye mada iko hivi.... mimi nilimaliza shule ya msingi mwaka2010 nikafaulu kujiunga na sec 2011-12 nikatimuliwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hawa watumishi wa umma walioachishwa mishahara yao tangu mwezi July Kwa nini hawalipwi haki zao ? kwani walijiajiri wenyewe? na isitoshe kama kama ni vigezo kwani hawakuviona hivyo...
0 Reactions
1 Replies
556 Views
Za leo ndugu zangu, Mwanaume kuishi bila gari inawezekanaje kwa mfano? Unapanda ngarangara za Gongo la mboto unaning'inia kwenye chuma upo na watoto jamani. Unaenda kanisani mvua inanyesha...
15 Reactions
217 Replies
19K Views
Hivi umeshawahi jiuliza siku Google ikizimika nini kitatokea duniani?, Maisha yatakuwaje bila google, maana google inakusanya Youtube, Android platform, Gmail, Google+, Google apps, Google maps na...
6 Reactions
87 Replies
11K Views
Kuna hili swala LA MAJI safi katika mkoa wa pwani wilaya ya Kibaha kata ya Mkuza yani Eneo Kwa mathiasi Takriban miezi zaidi ya mitano MAJI yanatoka machafu baada ya muda yanatoka tena masafi...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Kufuatia masharti lukuki ya time ya uchaguzi,,nashauri CDM waende mahakamani kupinga,,maana usiwe na Simu na utakacho kiona Ndani ya chumba cha kupigia kura kiwe siri,,Cdm akili kumukichwa
0 Reactions
0 Replies
698 Views
Wakuu. sisi wengine tunaunga mkono juhudi za serikali , naona wenzetu mnapenda tuwaunge mkono lakini sisi tukisema yetu mnakua na gubu. Kodi katika nchi hii sasa mnakomoa na kwa namna hii...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ukiwa mtu wa dhuluma, mabavu na uonevu,watu watakulaani, watakuombea mabaya na kwa hakika utafeli katika kila kitu. Na hii ndio sababu kuna watu wanapotangulia mbele za haki jamii humshukuru...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na...
7 Reactions
51 Replies
7K Views
Haya ni baadhi ya mambo usiyoyajua kuhusu kiongozi huyo mkubwa wa Marekani, ambaye ameacha alama kubwa kwa nchi hiyo na dunia kwa ujumla. 1.Abraham Lincoln wakati wa utawala wake alipinga biashara...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Biashara ya fremu inatajwa kuwa ndiyo iliyokuwa inawalipa zaidi wenye nyumba kuliko kupangisha vyumba vya kuishi. Katika nyumba nyingi za jiji la Dar es Salaam, ni nadra kukuta iliyojengwa bila...
2 Reactions
29 Replies
13K Views
Je kuna ukweli wowote kuwa tunauza umeme nje ya nchi kwa nchi jirani?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ulabu una maajabu sana.Kunywa unywavyo lakini usizidishe saa 6 kamili usiku. Ukishazidisha hata dakika 1 tu ni lazima uamke na hang over bab'kubwa na maharufu ya pombe mdomoni.Mpaka jasho nalo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Karani wa mauzo wa tume ya vyuo vikuu ya nchini Nigeria ameshutumu kuwa nyoka wa kiganga amekuwa akitafuna kiasi cha pesa kinachokadiriwa kufikia milioni mia mbili hamsini za kitanzania, fedha...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wabunge wa africa mashariki wameanza ziara ya kutembelea nchi za Africa mashariki kuangalia kama kweli nchi wanachama wa Afrika Mashariki walichokubaliana na kuwekeana saini kinafanya kazi na...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Mjasiriamali, Mtunzi wa vitabu mashuhuri nchini Tanzania na mmiliki wa kampuni ya Global Publishers, Erick James Shigongo amefunguka na kujiteua mwenyewe kuwa balozi wa hospitali ya Muhimbili...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kwakweli nimekuwa nikifuatilia matangazo mengi wanayofanya Tigo kiukweli wanapatia sana. Tuseme yani kwa upande wa matangazo ya mitandao ya simu wao wanakimbiza. Sasa saivi naona...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi kweli kwa aina hii ya Wafanyakazi wa Serikalini tena waliopewa Nyadhifa mbalimbali za kusimamia mambo muhimu ya Wananchi wanakuwa na mapungufu baadhi kama haya? Hawajui hata Job Descriptions...
23 Reactions
103 Replies
11K Views
Pale Muhimbili kuwepo taasisi ya Kushughulikia tatizo hili Jana ndani ya Daladala zimepigwavkelele nyingi lilipofungwa goli la Nne,nikajiuliza hawa watu wanaoshangilia ni ushabiki?Mapenzi su ni...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Back
Top Bottom