Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku mbaya NAIKUMBUKA siku hiyo, hata naogopa kuitaja. Ni siku waliyozaliwa wanangu mapacha – Kisiki na Mpingo. Niliondoka asubuhi ya siku hiyo kwenda ofisini kutimiza majukumu yangu ya kila...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Zanzibar. Kesi 1,218 za madai ya talaka visiwani Zanzibar zimeripotiwa katika mahakama mbalimbali za kadhi kuanzia Januari hadi Desemba, 2017. Naibu Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Katiba, Sheria...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kingunge aliyezaliwa Mei 30, 1932, alifariki dunia Febrauri 2 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako alikuwa akipatiwa matibabu baada ya kung'atwa na mbwa wake nyumbani Desemba 22, mwaka...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Sijui Tanzania inaelekea wapi? Yaani kila mmoja amegeuka kuwa mtu wa hovyo. Hakuna mwenye msimamo wala uthubutu wa kusimamia kile anachokiamini. Sijui nani katuroga masikini ya Mungu. Wajinga na...
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Baada ya kumtembelea mbunge wa Singida Mashariki Mh. Tundu Lissu kumjulia hali, mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe anasema kuwa alipata nafasi pia kumtembelea kumsalimia Mbwana...
10 Reactions
40 Replies
8K Views
Ukweli ndio huo,huu utawala wa awamu ya tano ni utawala utakaocha alama milele Kwanza raid kateau majembe haswaaa,Mnyeti,makonda,Gambo,mwanri n.k Ukiangalia taarifa ya habari utaona jinsi ma dc na...
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Salam wakuu. Ikitokea mtu akahukumiwa kwa kosa la mauaji, hukumu ya miaka 30 jela. Na akatumikia yote. Siku anatoka jela ghafla akamuona mtu aliye tuhumiwa kuwa aliimuua, akapata hasira na...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Hodi humu ndani, Nawasalimu wakuu habari za mihangaiko,nimeona post mahala Fulani yenye picha ya tangazo la kazi lililojaa ubaguzi mtupu kwa mganda na raia halisi wa Uganda- Rubanga,napenda kutoa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna ajali mbaya imetokea eneo la Kabuku, gari dogo ya abira Hiace imegongana uso kwa uso na Basi la kampuni ya AJ linalofanya safari zake kati ya Tanga na Dar Es Salaam Taarifa za awali...
2 Reactions
59 Replies
17K Views
Habari za leo ndugu zanguni Mimi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda, Nituma Application za Green Card mwaka 2013. Sasa Mwezi huu wa kumi nimekuwa nikitumiwa na hawa USAFIS Ujumbe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Zenu, Kwa yeyote mwenye kufahamu process ya kufuatilia mafao ya marehemu aliyefanya kazi shirika la reli la East Africa anisaidie Tafadhali.. Ahsante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wadau wa JF mimi nimechoshwa na vitendo vya polisi wa usalama barabarani wakitembea na vitabu vya risiti huku wakipokea hela na kutoa risiti ambazo nina uhakika nyingi ni fake, hivyo...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari Wana board? Nakumbuka miaka ya 2001-2002 nilipata kusoma Jarida la JWTZ. Kuna Yale majarida yao ambayo nadhani yanatoka Kila baada ya muda Fulani. Sasa Jarida hilo lilikuwa Na habari ya...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Usiku wa manane nimeota ndoto inayonipa maswali mengi kiasi asbuhi ya leo. Kwa kifupi tuu ni kwamba; Nilikuwa na wazazi walipotea katika ulimwengu huu zaidi ya miaka 10 iliyopita...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Kujifunza ni kitendo cha kujishusha na kujiona kama hujui wanachohua wengine na unatamani kujua kile usichojua... Aristotle alishawahi kusema "I have never met a person so stupid, that I can't...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
UWEZEKANO WA KUONDOA MATUTA BARABARANI Sehemu ya barabara iliyojengwa na kampuni ya Kijerumani mkoani Tanga (Dar-Arusha) haina matuta. Kuna alama zote za barabarani zinazostahili. Tangu ianze...
0 Reactions
2 Replies
772 Views
Habari wakuu. Nimeajiriwa January hii Serikali ni na TAMISEMI kama mteknolojia dawa.Ila leseni ndio niko kwenye mchakato wa kufuatilia najiuliza. Je, ni lazima niwe na leseni ili wanilipe vipi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za hapa wanaJukwaa.. Prof. Mlacha aliyekuwa DVC Udom pia mmiliki wa shule ya Sekondari Alikachenje mamlaka zinamuogopa? 1. Anakwepa kodi Wafanyakazi wa Alikachenje wanalipwa fedha mkononi...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Wakuu kuna huyu mtu anajiita NAPENDA KUITWA MAMA yupo Instagram nimekuwa nikifuatilia habari zake lkn pia anajinasibu kama in msaada mkubwa kwa watu wasio na watoto Je? Huku JF kuna mtu mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini, Ktk kuhakiki madeni kwa watumishi wanaoidai serikali imebainika kuna majina ya baadhi ya walioachishwa kazi baada ya uhakiki huo wakiidai Serikali. Je, watalipwa madai yao au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom