Kwa speed hii kesho atavunja Magistrates court

Kwa speed hii kesho atavunja Magistrates court

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,388
Reaction score
6,482
Mh, kama anaweza vunja Mabaraza ya kata, ambayo yapo kisheria, kesho nawaapia atatangaza kuvunja Magistrates court. Ngoja imhukumu "mpendwa wa mkojo" na bangi kuwa na hatia! mtaona. Mkuu wa mamlaka za mahakama hizi ajiandae kwa pigo hilo!
 
Kweli kabisa kila mtu anamuogopa si waziri si mbunge sijui katibu mkuu wote kimya wakiulizwa wanajeuka mabubu wengine ooh tumeshamalizana naye mara ameshajieleza wamekuwa mbwa koko wote

Makonda wewe Chapa kazi hao wanaosema sijui hujasoma sijui vyeti nitarara nao mbere
 
Back
Top Bottom