Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,431
- 191,695
Habari wapendwa,
Eh bhana nina mdogo wangu wa kike anakuja Mbeya leo toka mkoani Kilimanjaro. Kwenye kufanya selection ya basi alipendekeza kupanda New Force dhidi ya kiazi kitamu, Hood na Arusha Express. Kwa experience yangu na New Force za Dar-Mbeya sikuwa na tatizo na hio suggestion. Ila cha kushangaza tokea saa moja asubuhi mpaka sasa eti bado hawajafika Chalinze.
Kwa hali hio wadau je kuna uwezekano wa kufika Mbeya saa ngapi maana nina wasiwasi sana na safari hii iwapo watapita mlima Kitonga usiku na pia je vipi wakilazimika kulala njiani maana amekaa siti moja na msela?