Hii dhana ya SINGLE MOTHERHOOD, ni HILA za shetani, OGOPA

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Karibu zaidi ya miezi miwili sasa, nimesikia kwenye vyombo vya habari (zaidi sana Redioni) matangazo ya kumtafuta Singlemother Bingwa au bora, jasiri, hodari ! ili aweze kutunukiwa tunu ama zawadi.
Watanzania wengi hawajui nini maana yake hii kitu. Katika Spiritual view, Mwenyezi Mungu anachukia sana kuona ndoa zinazovunjika, au kuterekezana. siyo mpango wa Mungu kabisa.unless otherwise, au kama kuna kifo kimetokea kwa mmoja wa wazazi hawa. shetani au LUCIFER anafurahia SANA uchipukizi wa ma-singlemother (akichochea wanawake kujitafutia mabwana na kuzaa nao watoto kwa mababa tofauti bila ndoa wala posa wala mahari) ! kitendo hiki kinachochea uzinzi. wanaona ndio life style. hakuna haja ya kuoana-oana au ku controliana lets be free !!!!
(haya ni mawazo yangu naomba nisihukumiwe asante sana.
 
Sasa kwani ulitaka wafanye nini wao kama E-fm/T-VE? kwani wao ndio walivunja hizo ndoa? Kwani kwanini wababa wali wakimbia hao wakina mama na kuwaacha peke yao na majukumu?
Pengine lengo la E-fM ni kuwatia moyo wasikate tamaa na wapambane....
 
Ahsanteee Tumekuelewaaaa!......... Katibuuuuu ( kwa sauti ya mh. Spika yule mama wa mbeya sijui iringa !! Tutamkumbuka tu!)
 
Karibu zaidi ya miezi miwili sasa, nimesikia kwenye vyombo vya habari (zaidi sana Redioni) matangazo ya kumtafuta Singlemother Bingwa au bora, jasiri, hodari ! ili aweze kutunukiwa tunu ama zawadi.
Watanzania wengi hawajui nini maana yake hii kitu. Katika Spiritual view, Mwenyezi Mungu anachukia sana kuona ndoa zinazovunjika, au kuterekezana. siyo mpango wa Mungu kabisa.unless otherwise, au kama kuna kifo kimetokea kwa mmoja wa wazazi hawa. shetani au LUCIFER anafurahia SANA uchipukizi wa ma-singlemother (akichochea wanawake kujitafutia mabwana na kuzaa nao watoto kwa mababa tofauti bila ndoa wala posa wala mahari) ! kitendo hiki kinachochea uzinzi. wanaona ndio life style. hakuna haja ya kuoana-oana au ku controliana lets be free !!!!
(haya ni mawazo yangu naomba nisihukumiwe asante sana.

Wenye ' Kampeni ' hii ya ' Single Mother ' wala siyo Vyombo vya Habari bali ni Chombo kimoja cha Habari nacho tu Efm pekee na ' hitimisho ' lake ni leo ambapo Mshindi atapatikana huko katika Hotel ya Golden Tulip.

Siku zingine tujitahidi Kwanza kujiridhisha Kitaarifa ndipo tukimbie huku kuanzisha Mada na siyo Kukurupuka na kutaka Kuwadanganya / Kuwahadaa Watu labda ukidhani ya kwamba unayesikiliza Redio au kutizama Runinga na Kuhabarika ni Wewe peke yako.
 
utanifahamisha mkuu kitakachoendelea pliiiiz
 
jana nilikuwa kwenye ministry moja nje kidogo ya Dar, nikawaona wadada fulani (niseme ni Majahidina wa Kikristo) wanaponda usawa wa jinsia, wanaponda u-single mother hood, wanapinga usenge -usagaji, hata vazi la suruali kwa wanawakee !!!!!!!!!
du nikaona kweli hawa ndo wapepiiiiitwa na wakati kwelikweli. au nimikoseya ?
 
Mkuu umekasirishwa na nini kwenye mada hii?
Mimi naona hata angelitaja vituo vyote vya tivii, lakini kikubwa pale yeye kalaani uhamasishaji wa usimbe(single moms) hiyo ndiyo pointi yake hasa.
Sasa wewe povu! Kuna nini mkuu?
 
jana nilikuwa kwenye ministry moja nje kidogo ya Dar, nikawaona wadada fulani (niseme ni Majahidina wa Kikristo) wanaponda usawa wa jinsia, wanaponda u-single mother hood, wanapinga usenge -usagaji, hata vazi la suruali kwa wanawakee !!!!!!!!!
du nikaona kweli hawa ndo wapepiiiiitwa na wakati kwelikweli. au nimikoseya ?
Wewe unaonekana umekata tamaa ya kuolewa na sababu ni kwamba ulikubuhu sana kwenye mambo ya Dunia ndio maana uliwachukia Wale wadada.
 
Back
Top Bottom