Msaada wa matibabu wa elfu 20 kwa atakayeguswa

Nelson nely

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
4,250
Reaction score
2,870
Habari za asubuhi,wakuu nilipata ajali wiki iliyopita baada ya kujichimba na sururu mguuni wakati nachimbua visiki nikiwa kwenye maandalizi ya kuchoma mkaa huku porini,sikupata matibabu yoyote maana sikuwa na pesa japo maumivu niliyoyapata hayaelezeki,mguu ulionesha matumaini kidogo ndani ya siku mbili lakini ghafla usiku wa kuamkia jumatatu nilipapa maumivu makali sana usiku,wakuu maumivu yanazidi kila kukicha ma nahisi kama baridi kali sana kwa ndani ya mguu na mbaya zaidi unavimba sana.Kwa kifupi hali yangu si nzuri kabisa wakuu na kazi ninayoitegemea ndo hivyo tena.Naomba kwa yeyote atakayeguswa anisaidie kiasi chochote kwa namba 0693265348,Ili nifikishe elfu 20 itakayonisaidia kutoka huku nifike hospital.(NB. niliandika thread ya kwanza naona ipo jukwaa la entertainment,mods mkinisaidia kuunganisha nitashukuru).Natanguliza shukrani.
 
Pole sana mkuu, ila nauliza tu kwa nia nzuri. Huna ndugu yeyote anae weza kukusaidia hicho kiasi ama hao unao choma nao mkaa?
Samahani kama utachukulia kivingine.
 
Kazi ya ualimu kweli ni wito
Dogo kwenye huu uzi umejipambanua kama mwalimu wa kata,vipi huna kadi ya bima ili ukatibiwe?
 
Pole mkuu, siku hizi watu wamekuwa siyo wakweli.. huwezi jua nani mkweli nani muongo,kila kitu ni fulsa....
 
Pole sana mkuu, ila nauliza tu kwa nia nzuri. Huna ndugu yeyote anae weza kukusaidia hicho kiasi ama hao unao choma nao mkaa?
Samahani kama utachukulia kivingine.
Ndugu ninaye lakini kiukweli hata kumuomba elfu 2 kwa hali yake naona huruma
 
Unaweza ukawa kweli umeumia na unahitaji msaada na watu wakawa wana nia ya kukusaidia, lakini mtu akipitia threads zako zote ataona ni aina ya utapeli.

Pole sana.
Kama utaguswa kwa hili nitashukuru mkuu
 
Nasema hivii hupati msaada hapa Jamiiforums hiki ni kijiwe cha stori tu.
 
kwann usiweke bond hiyo smartphone yako ili upate hiyo pesa ya nauli?? au hakuna magari uombe lift??

ungeweka na picha mbili za kuonesha tatizo lako ingetoa hamasa watu kuchangia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom