wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,271
- 3,395
Wataalamu wamesema kuanzia wiki hii na kuendelea na zijazo kutakuwa na hali ya joto kubwa usiku na mchana katika Ukanda wa Pwani.
Joto hili linadaiwa linaweza kusababisha upungufu wa maji mwilini ambayo yanaweza kusababisha hata kifo, pia inaweza kufanya mtu apate ugonjwa wa chickenpox (tetemakuwanga) harara ama vipele vya joto mwilini pamoja na msongo wa mawazo.
Unashauriwa kunywa maji kwa wingi, kuoga mara kwa mara, kupunguza vyakula vya protein na badala yake kula zaidi mboga mboga na matunda kwa wingi. (NI kutka kwa washauri wa afya ya mwili).
Chanzo: Azam Tv