think3r91
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 469
- 209
Habari.
Nilikuwa nataka kufahamu kama mtumiaji mpya kabisa wa sigara, nichague sigara ya kampuni gani na nzuri iliyokuwa na kiwango kidogo cha madhara yanayotokana na sumu ya nicotine.
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kwenye mitandao ya makampuni binafsi na wazalishaji wa sigara husika. Mpaka sasa nimefikia kwa sigara aina kutoka kampuni ya malboro na camel.
Ila sijajua ipi ni bora ama kuna brand zingine bora zaidi.
Wanasema ukitaka kula ng'ombe basi mchague aliyenona. Nami nataka kuanza vuta hizi sigara ila nataka kufahamu ipi ni bora zaidi na itafaa; na pia yenye madhara kidogo ama yasiyokuwepo kabisa.
Naomba ushauri wenu
E-Cigarette tusiweke kwenye list yetu.