Unapomuoa changudoa kwa ndoa ya Kanisani anatakasika?

Mafwi Munda

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
1,750
1,599
Eti ukimuoa changudoa/dada poa, kwa ndoa ya kanisani anatakasika?! Huwa nasikia story yule dada mchafu sana, au ana mapepo, lakini wanaolewa na kua wake wema na kuwa na familia nzuri tu.

Je, ndoa hutakasa au kanisa huosha ule uchafu na kuutakasa?!

Vtangudoa wote uolewa na wanakuja wapya, wale magwiji wameolewa wote. Nilitembelea mitaa fulani nikaulizia wale niliowafahamu waliniita mteja wao zamani, nilimkuta mmija alikywa mdoogo enzi hizo, akaniambia wale wazamani wameshaolewa wote siku hizi wapo wapya.

Je, inakuwaje wakiolewa huu uchangudoa unawaisha?! Ni vipi wanasahau walichokifanya huko zamani?!
 
Eti ukimuoa changudoa/dada poa, kwa ndoa ya kanisani anatakasika?! Huwa nasikia story yule dada mchafu sana, au ana mapepo, lakini wanaolewa na kua wake wema na kuwa na familia nzuri tu. Je, ndoa hutakasa au kanisa huosha ule uchafu na kuutakasa?!
Vtangudoa wote uolewa na wanakuja wapya, wale magwiji wameolewa wote. Nilitembelea mitaa fulani nikaulizia wale niliowafahamu waliniita mteja wao zamani, nilimkuta mmija alikywa mdoogo enzi hizo, akaniambia wale wazamani wameshaolewa wote siku hizi wapo wapya.
Je inakuwaje wakiolewa huu uchangudoa unawaisha?! Ni vipi wanasahau walichokifanya huko zamani?!

Kwa hiyo unataka nasi tuwe sehemu ya kujadili upuuzi wako? Mwingine naye aje aseme yule pusha kawa shekh sikuhizi! hivi ukikosa kazi ya kufanya unaamua kutubandikia mabandiko utumbo hapa shubaaanyama...
 
Hahaha nawewe changudoa uliyeolewa nini?! Tupe uzoefu wako inakuwaje?!
 
Kwa hiyo unataka nasi tuwe sehemu ya kujadili upuuzi wako? Mwingine naye aje aseme yule pusha kawa shekh sikuhizi! hivi ukikosa kazi ya kufanya unaamua kutubandikia mabandiko utumbo hapa shubaaanyama...
Tatizo nn mkuu mbona povu?
 
Wengi wanafanya sababu ya njaa. Wakipata sehemu ya kupata mkate huwa wanaacha.
Upo sahii. Leo nimekutana na mdada flani amabye kipind anamiaka 17-19 alikuwa changudoa aliyekubuh. Alibatizwa jina la Ryc sababu ya kuzungusha mauno anapohudumia wateja na saut nyororo. Ila leo nimemkuta airtel anafanya kazi na kaolewa na kaniambia hivi sasa anawatoto.
 
Dhambi haifutiki mpaka kutubu, kama ndoa itahusisha kutubu kwanza basi makosa yake yanafutika..ila kama itafungwa tu kwa alama tu ya kwamba ni ya kanisani bila kutubu kwanza ataendelea kuwa na dhambi yake
 
Na in reality wengi wanauza japo wengine hawajipangi barabarani. Mungu tu huwa anatulinda. we unadhani mwanamke kwa average mpaka anaolewa anakuwa amekazwa mara ngapi!!? na most of the time mwanamke ukienda kumkaza lazima adai nauri. Ukimpa mia 4 nauri ya kufika kwao kesho humuoni tena.
 
Hahaha wanauza wewe unatoa nauli tu?!
 
Dhambi haifutiki mpaka kutubu, kama ndoa itahusisha kutubu kwanza basi makosa yake yanafutika..ila kama itafungwa tu kwa alama tu ya kwamba ni ya kanisani bila kutubu kwanza ataendelea kuwa na dhambi yake
Dhambi ni nyingi , hawa wao dhambi yao ni ipi?!
 
Back
Top Bottom