lady cnta
Member
- Jan 29, 2018
- 71
- 69
Wakuu poleni na majonzi ya kumpoteza kijana mwenzetu Aqwillina.
Wakuu naombeni mnipe changamoto za huu mji wetu was Dar-es-Salam.
kwakweli nimeumia sana.
Mr, kuhamishiwa kazi Dar, sababu huu mji nilishawah kuishi kwa miezi 6 zamani kidogo kabla ya mabasi ya mwendokasi hayajaja yaani kulikua na shida ya usafiri sana, bila kuminyana hupati gari.
Na kingine gharama za maisha, maisha ya Dar ni magumu sana yaani kila kitu kiko juu, kwanzia kodi za nyumba mpaka bill za umeme.
Inawezekana maisha yamebadilika sana, hembu wadau mnaoishi Dar mnipe uzoefu na maisha ya Dar na changamoto zake.
Yaani nimeangalia nyumba za kupanga insta kwenye page za madalali yaani hakuna nyumba ya laki2 inayojitegemea zote ni kuanzia laki 4 kuendelea.
Wakuu nipeni mwongozo, juu ya kupata nyumba nzuri za bei nafuu zinazojitegemea.