Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nasikiliza hapa #SupaMix #Zembwela #Bishagagi #Mwanne na wengineo.. Wanadai kukeketa wasichana wa Wakikurya ni mradi wa kina mama na wazee wa Kikurya! Siku zote nilidhani wenzetu hizi mila zenye...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Smart Tv Ninatumia Smart Tv naomba msaada jinsi ya kuweza kupata link ili niweze kutazama ligi kuu ya Eng. Live
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Tulisome
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi wafanyabiashara jijini Mwanza wamelalamika kwamba biashara zinafungwa kwa sababu makadirio ya kodi ni makubwa kuzidi uhalisia. Leo nilikuwa Kariakoo, nimewasikia wafanyabiashara fulani...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Kagame
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana usiku,hali ya joto ilikuwa ya juu sana,hii nimeuliza watu wengi kama walihisi joto la juu au ilikuwa ni mimi tu,kweli watu wanasema joto lilikuwa balaa. Sasa leo hali ya hewa imechange na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wa mitungi ya gesi wa reja reja hawatoi risiti za EFD. Nimenunua mara nyingi na kila nikidai wanaishia kunipa ya kuandikwa kwa mkono, nimejiuliza iweje maliwatoni tupewe risiti ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii nimeiona EATV KUNA UKWELI GANI KATIKA HILI sasa hakuna kufanya kazi tena ni uhakiki tu mwenye ukweli atwambie ========== Serikali ya mkoa wa Mbeya kupitia Katibu Tawala wa Mkoa Bi. Mariam A...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Najaribu kuwaza kwa kina baadhi ya mambo yanayotrend kwenye mitandao ya kijamii na hoja za watu,naona kama kuna tatizo la fikra. Inatokea migomo na fujo mashuleni kwa sababu za kiuanafunzi jitu...
0 Reactions
3 Replies
894 Views
Mfano wa hivi karibuni ni Azam TV, nafasi zilitangazwa, wasomi...wenye uzoefu na wenye vyeti wakaapply na waliopata wakapata. Nashangaa Wasafi TV kufanyia nafasi za kazi audition, badala ya ku-act...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Jamani wana jamvi kuanzia wiki hii ianze nimekuwa nikipigiwa simu na namba ngeni siifahamu Ila ni ya nje +674..... Nimeifuatilia code no. hii ni ya kinchi kidogo huko Oceania na hii leo hadi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu amani iwe kwenu! Lengo la uzi huu ni kuwapa kwa ufupi yaliyonipata jana na mrembo fulani mkali. Ilikuwa hivi, jana nilitembelea chuo chetu kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa shida zangu...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Waugwana tupumzishane kidogo na mambo ya politik Nina jamaa yangu tunafanya kazi nae hapa, anataka kwenda Tanzania, ( kwetu) na kutembelea Zanzibar na Dar, Kwa Zanzibar nina mtu tayari wa...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema kiwango cha utegemezi kiumri kwa Watanzania ni asilimia 92. Amesema kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2012, kiwango cha utegemezi...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Leo nimekaa nikajiuliza vimaswali flani hivi korofi kwenye tukio la shambulizi la Lissu. Hivi ni kweli kuwa kukosekana kwa dereva wa lissu ndio sababu hadi leo polisi wameshindwa kupata mshukiwa...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Kazi ndio imeanza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalam semeni au kifront front
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kiongozi wa kundi la Wazanzibari 40, 000 waliofungua kesi kwenye mahakama ya Afrika Mashariki kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rashid Salum Adi, anasema anahofia usalama wa...
5 Reactions
62 Replies
6K Views
Habari wakuuu Niende moja kwa moja, naomba taarifa za matokeo ama mrejesho wa usaili uliofanyika jana jumamosi. Walisema tokeo litatoka leo vipi teyaree ama ziiii?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…