TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,251
- 2,036
Jamani wana jamvi kuanzia wiki hii ianze nimekuwa nikipigiwa simu na namba ngeni siifahamu Ila ni ya nje +674..... Nimeifuatilia code no. hii ni ya kinchi kidogo huko Oceania na hii leo hadi nimeamua kuandika uzi huu nimepigiwa simu na unknown caller nikipokea haongei, msaada kwa aliyeexperience hichi kitu, hatua niliyochukua ni kublock hyo no isijekuwa watu wasiojulikana