W wiser1 JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 2,606 Reaction score 3,981 Feb 4, 2018 #1 Habari wakuuu Niende moja kwa moja, naomba taarifa za matokeo ama mrejesho wa usaili uliofanyika jana jumamosi. Walisema tokeo litatoka leo vipi teyaree ama ziiii?
Habari wakuuu Niende moja kwa moja, naomba taarifa za matokeo ama mrejesho wa usaili uliofanyika jana jumamosi. Walisema tokeo litatoka leo vipi teyaree ama ziiii?
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Feb 9, 2018 #2 Lilisha toka. Watu wakaitwa interview ya pili na wengine ya 3 na 4. Na oral imekamilika tar 8 hivyo watu wanasubiri matokeo ya jumla na ajira
Lilisha toka. Watu wakaitwa interview ya pili na wengine ya 3 na 4. Na oral imekamilika tar 8 hivyo watu wanasubiri matokeo ya jumla na ajira
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,534 Mar 1, 2018 #3 Ngorongoro majibú tayari wazee. Wanatuma téxt