Greetings!
Are you a woman professional in your field? Please fill this survey out! Its 2Minutes top I promise!
Help us identify the gender gap at workplaces- Pay/Managerial Positions/...
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema kuwa kama Aprili 26 mwaka huu watu Wakiandamana kwa mitandao ya kijamii wao hawana tatizo kwa hilo ila kama wataingia barabarani...
Imeandikwa, "Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache, Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake".
Inafika pahala kila Mwanadamu akubali kuchagua mambo ya...
Mara Nyingi Mauaji ya Halaiki yanayofanywa Kiwazimu Na Mtu Mmoja au Kundi Fulani la "Wasiojulikana" Yanakuwa na Signature! au Tuseme yanakuwa na Kitu cha Kufanana. Mfano Kama Wauaji Wamezoea Kuua...
Habari za mchana,
Hivi viongozi wa nchi wakiwa wanatoa hatuna zao, pale mwisho huwa wanahitimisha kwa kusema....
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki .........
Mungu Ibariki. ........
Mungu...
Nilisikia ni genious balaa lakini sijamjua vizuri. Mwenye kumjua vizuri atujuze nasi tumfahamu.
----------Update---------
Stephen William Hawking was born on 8 January 1942 (300 years after...
Mwanzoni tuliona mistari mistari tu... Na kwa hakika hatukujua kama ni mchoro wa nini, na umeanzia wapi.... Lakini akapotoea Ben Saanane,! Ya kamanda Mawazo na Mwangosi yanajulikana yako wazi...
I'm That Extremely Strict Mom, and These Are 4 of My Biggest Rules
March 15, 2018 by Melissa Willets
2.1K Shares
The world can be a scary place sometimes, and when you're a...
Jeshi la polisi mkoani Iringa linawashikilia watuhumiwa wawili kufuatia kifo cha kutatanisha cha mwanafunzi wa kike wa kidato cha sita Sundi George aliyekuwa akisoma katika shule ya sekondari...
ANGALIZO: KAMA HUAMINI KATIKA UWEPO WA MUNGU MWENYE ENZI USISOME
Mungu ibariki Tanzania.
Aibariki mara ngapi? Hivi tunautani na Mungu?! Aibariki ktk nini kilichobaki labda?
Ni nini ambacho...
Kuelekea maadhlinisho ya wiki ya Maji Kitaifa yatakayo anza rasmi kuanzia tarehe 16 - 22 Machi 2018, Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Majisafi na Majitaka jijini Dar Es Slaam (DAWASCO) anawaalika...
Kwa muda mrefu nilikua nawaza, je uzalishaji anaofanya mfungwa mmoja, unaringana na gharama za kumtunza?
Kumlinda, kumlisha, huduma za afya hakuna mbinu mbadala serikali inaweza kutumia kuepusha...
Housing demands keep on increasing day after day. As the world population increase, the need for housing Increases as well. with the current Statistics in our Nation, almost 50% of the population...
Habari gani wakuu?
Kwa mtu yeyote ambaye, ni mtaalamu wa mambo ya miti ama mtu yeyote anayetaka kujuzwa chochote, juu ya miti kuanzia muonekano wake, aina za miti, sifa zake, ubora pamoja na...
Kila mtu na mtazamo wake, mimi ni mwanamke lakini kutoka ndani ya moyo wangu kabisa nampongeza Rais wangu kwa kupiga marufuku wasichana wanaopata mimba wakiwa mashuleni, kurudi na kuendelea na...
Copy & Paste...!!!
TUTHAMINI UTU NA HESHIMA KWA MKUBWA NA MDOGO TUSIISHI KWA MAZOEA:
Wewe Umeenda semina Dodoma, una ndugu yako kule. Unamtaarifu na utaenda kumtembelea. Anakuambia karibu sana...
Akizungumza na Startv akitokea Mkoani Arusha Kaka ya Mbunge Tundu Lissu ambaye nae pia ni Mwanasheria ametoa taarifa ya hali ya matibabu ya mdogo wake huyo huku akisisitiza na kuomba msaada kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.