Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Housing demands keep on increasing day after day. As the world population increase, the need for housing Increases as well. with the current Statistics in our Nation, almost 50% of the population...
0 Reactions
2 Replies
735 Views
Habari gani wakuu? Kwa mtu yeyote ambaye, ni mtaalamu wa mambo ya miti ama mtu yeyote anayetaka kujuzwa chochote, juu ya miti kuanzia muonekano wake, aina za miti, sifa zake, ubora pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila mtu na mtazamo wake, mimi ni mwanamke lakini kutoka ndani ya moyo wangu kabisa nampongeza Rais wangu kwa kupiga marufuku wasichana wanaopata mimba wakiwa mashuleni, kurudi na kuendelea na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Copy & Paste...!!! TUTHAMINI UTU NA HESHIMA KWA MKUBWA NA MDOGO TUSIISHI KWA MAZOEA: Wewe Umeenda semina Dodoma, una ndugu yako kule. Unamtaarifu na utaenda kumtembelea. Anakuambia karibu sana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Akizungumza na Startv akitokea Mkoani Arusha Kaka ya Mbunge Tundu Lissu ambaye nae pia ni Mwanasheria ametoa taarifa ya hali ya matibabu ya mdogo wake huyo huku akisisitiza na kuomba msaada kwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habzri iko hapa: HUJAFA HUJAUMBIKA... Simulizi maisha ya waaajiriwa wa wafugaji wanavyobahatisha maisha Pa kulala mtihani...akikwama barazani, kiambaza cha baa NI mwendo wa takriban nusu saa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika wasifu,unataja jinsia,dini,kabila,na uraia,mambo haya yanachangia ubaguzi wakati wa kupokea maombi,siyo virahisi manager awe Mjita,halafu ana majina 2 mkononi,ya mzaramo na mjita,akamwacha...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Teacher Posts Salary on Facebook, Asks Why She's Paid so Little Even With a College Degree Teacher Posts Salary on Facebook, Asks Why She's Paid so Little Even With a College Degree Fed up...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
*MITOMINGI*; nadhani sasa mgeni amekwisha kumaliza kula hebu nenda kaondoe vyombo *MAMA_MAZOEA*; Basi fanya haraka (Mazoea anatoka, anaenda kwa Ngoswe alipo). *MAZOEA*; Hodi! Hodi! *NGOSWE*...
5 Reactions
7 Replies
6K Views
Nakumbuka ni miezi kadhaa sasa toka mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi kama inavyosemekana kuwa alitekwa na watu wasiojulikana akiwa katika watu huko Kibiti. Walipomchukua katikati ya...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
Malipo ya wawekezaji kwa wafanyakazi wao huwa yanategemea malipo ya watumishi wa umma wanayopewa na serikali. Muwekezaji anaweza akawa na uwezo mkubwa wa kulipa mishahara mikubwa kwa wafanyakazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu huu Uzi utumike kutoa update kuhusu mvua ambayo imekata sasa hivi (kwa huku niliko) na kwa jinsi ilivyonyesha inawezekana imesababisha uharibifu kadhaa kwa hiyo tupeane taarifa na tahadhari.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wadau Mimi ni Mmoja Kati ya wale wengi ambao ndoto zetu ni kutoboa Ughaibuni kwasababu nimechakarika sana Kibongobongo Lakini ngoma ngumu nimepiga kazi kwenye viwanda kama kibarua,nimeosha...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Acha tu hawa wadudu! Nimepita chini ya mzinga wa nyuki nikatikisa tawi. Acha waje kwa kasi aisee. Wanang'ata huku wanapiga kelele au sijui wanashangilia.. Walijipinda mno usoni na kwenye...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wasalaam wanajamii wenzangu, Siku za hivi karibuni nimekuwa na safari nyingi sana Jijini Mwanza na last week nikapata safari ya kwenda Arusha ila nikaona nirudi kwanza Home Dar kwa siku mbili...
16 Reactions
113 Replies
13K Views
Wakati RPC Iringa akieleza mapema kuwa Nonda aliripoti saa moja asubuhi siku iliyofuata kituo cha Mafinga Polisi, bwana mkubwa Mambosasa yeye anasema Nonda hakupata kuripoti popote hata serikali...
7 Reactions
206 Replies
24K Views
Hakika huu wimbo umenikumbusha mambo mengi nikiangalia nchi inavyoenda hakuna ustawi ktk jamii,uzalendo,haki,amani na tumaini letu linazidi kupotea kwa kukosa utashi kwa baadhi ya viongozi,rushwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
As much as I hate to give credit to any religious group, I have to agree with the Catholic church on this issue. Unajua, mambo ya urafiki kwenye mtandao (the so called web 2.0 /social networking)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naam. Kwenye pitapita zangu nilikutana na kinywaji hiki na udadisi ukaniingia. Chupa na ujazo ni kama wa Azam Energy Drink (300ml) na inauzwa Tsh 500/=. Ukiifungua tu, unapokelewa na harufu murua...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Habari wakuu, hii tabia ya kunika pichu kwenye vyoo vya umma inakera sana,unakuta mmepanga nyumba moja karibia wangaji kumi nambili istoshe kuna rika zote pale...pichu karibia 30 zimeanikwa kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom