Hali ya huko ni baridi ya maana kama umetokea miji ya joto basi hakikisha unabeba blacket zito..koti la maana socks na mavazi mazito yatakayokukinga na baridi....na kuhusu tabia wakazi wa kule ni welevu na hawapendi mtu kujikweza namaanisha kujifanya kuwa juu zaid ya wengine....kumbuka wazee wa huko wachawi balaa usije ukaenda kuiba mke wa mtu
Mfinga - Iringa no baridi kwa sana hasa kuanzia mwez huu kuelekea hadi wa 9.
Watu wake niwakawaida sana wakarimu, wacheshi,
Wapi pombe ya ulazi......!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.