Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,228
Habari za mchana,
Hivi viongozi wa nchi wakiwa wanatoa hatuna zao, pale mwisho huwa wanahitimisha kwa kusema....
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki .........
Mungu Ibariki. ........
Mungu Ibariki. ........
Hii nimekuwa nikiisikia tangu utawala wa awamu ya Mh. Ben. hata huyu wa sasa nae anatumia hiyo hitimisho kwenye risala zake.
Nnachojiuliza, huyu Mungu wanayemmaanisha.... ni Mungu yupi?
Kumbuka kuna mzungu wengi inaabudiwa huku duniani....
Hizo baraka huwa zinashuka kweli?
Kuna waliowahi kuzipata hizo baraka?
Kuna msemo huwa nausikiaga kuwa serikali haina dini, na inafahamika wasio na dini ni wapagani.
Je, huyu Mungu wa kwenye risala ni yupi?
Nisaidie tuu kudadavua tafadhali.
Mchana mwema kwako uliyefunga kwa maana ya kwaresma.
Mchana mwema kwako uliyefunga kwasababu huna hela ya mlo wa mchana.
Mchana mwema kwako uliyepigika, iko siku vyuma vilivyokubana vitaachia tuu. Furukuta usikae tuu na kukata tamaa.
Kasinde Mdadisi.