Special; Maswali na majibu kuhusu miti. (Elimu ya miti)

Special; Maswali na majibu kuhusu miti. (Elimu ya miti)

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,179
Reaction score
6,360
Habari gani wakuu?
Kwa mtu yeyote ambaye, ni mtaalamu wa mambo ya miti ama mtu yeyote anayetaka kujuzwa chochote, juu ya miti kuanzia muonekano wake, aina za miti, sifa zake, ubora pamoja na ukuaji wake. Anakaribishwa kuuliza swali lolote, kwa lugha yoyote na atajibiwa na mtaalamu, ama mwanafunzi yeyote wa masuala ya miti.
Elimu hii kwa upana ipo katika kipengele cha sayansi ya miti kwahiyo wanasayansi wa masuala ya miti, mnakaribishwa kujadili kwa pamoja mambo mbalimbali yahusuyo mimea ya miti, ambayo ni mimea yenye faida nyingi sana hapa duniani kuliko mimea mingine yote.
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom