Yapo Buguruni Sheli, kwenye lile daraja la Overhead (Pedestrians Bridge) upande wa stendi ya daladala kuelekea Ubungo....
Ukifika upande ule utaona ofisi zao
Mabasi yanaondoka saa 12:00 asubuh muda wa kuwasiri kama kawaida saa 11:30 asubuh
Hayo yanaenda moja kwa moja yanapitia pale Mikese na kuchanja mbuga ndani ya Milima ya Uruguru
Mabasi yapo ya
Matombo, Mvuha, Duthumi, Bwakira, Mngazi hadi Kisaki Station
Ukiwa njiani after Mikese ukielekea Morogoro Mjini si unaonaga view moja kali sana ya Uruguru Mountain...!!
Sasa basi hiyo njia unapita katikati ya hiyo Milima, kuna kipindi mnakua some feet's above hadi kile kilele cha Uruguru unakiona hapa na hapa
Kuna ka ubaridi flani hvii amazing