Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1.Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi. 2.Tembo anaukubwa wa tani 7 3.Tembo jike hubeba mimba miaka 2 4.Tembo mtoto huzaliwa...
2 Reactions
306 Replies
77K Views
Habari wajuvi Wa kunyanyambua na kudadavua! Tangu serikali hii ianze kazi, imekuwa na utaratibu Wa kuwa na kigugumizi katika utoaji Wa taarifa za magonjwa ya milipuko, Mtakumbuka Taasisi nyingi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
HABARI, Kwa taarifa hizi zilizoandikwa kwenye magazeti sio za kubezwa ila ni vitisho tu na vita inayoendelea hasa vya watu wasiopenda maendeleo ya sasa ya taifa letu.Kama ni kushinikiza kazi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kama zamani wakati unakuwa uliwahi kuwaza kumtumikia Mungu, lakini badae ukapiga kona kwenye maisha mengine leo nina ujumbe wako; Watu wengi wamedanganywa sana na shetani kupitia kiwanja cha...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Za zamani zimebomolewa, mpya sifahamu ziliko. Ukiweza weka na ramani(eg google) kabisa ili nipapate kwa urahisi (mimi sio mwenyeji)
0 Reactions
4 Replies
4K Views
In the Book of Genesis of the Hebrew Bible, chapters one through five, there are two creation narratives with two distinct perspectives. In the first, Adam and Eve are not mentioned (at least not...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waziri wa sheria na Katiba Prof Paramagamba Kabudi akizindua Mpango wa usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa mkoa wa Simuyu na Mara kwa watoto wa miaka mitano. Hivi karibuni Waziri wa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau habari, Baada ya Kazi ngumu,nimeona nikapumzike Mji Kasoro bahari! Je ni hotel gani Nzuri na ya kisasa Ambayo Ina Range 50,000-100,000 Mkoani Morogoro?
1 Reactions
78 Replies
13K Views
Nimeota nimepata msichana, akanipeleka kwenye synagogue, Huko nikanyweshwa maji ya zamzam Na kulishwa manyama. Naomba mnisaidie kujua maana yake. 1. Nataka nijue maana ya kupata msichana ndotoni...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
WATU watatu wamenusurika kifo mjini Morogoro baada ya kutokea ajali mbaya ya lori la mizigo, (Semi Trailer) ambalo dereva wake ameshindwa kulimudu na kuparamia duka la dawa za binadamu. Hali...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Do you want to study in Australia,China,USA,UK,Canada,India,South Africa etc?? Do you want to have Diploma, degree,Masters,PhD via ONLINE LEARNING mode within your country without getting to...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido ya hospitali ambayo alikuwa anawahishwa kwenda kujifungua. Mtoto huyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama jinsi alivyolitibua kwenye sukari na kudai anataka kushusha bei matokeo yake ikapanda na hadi leo chai ni anasa hata ukienda kwa mama ntilie hakuna ule uhuru wa sukari kukaa kwenye kikombe...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari yenu, Napenda kuuliza mwenye uzoefu kuhusu malipo ya AdSense Tanzania kupitia wire transfer, malipo yanakuaje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Wataalamu Naomba Kujua Ni kiwango Gani Cha Mwisho Kinachoweza kutumwa Kwa Western Union hapa Tanzania. Kwa Mkupuo Mmoja Kutoka Google Adsense. Pia Kama Kutakuwa na Mtaalamu yoyote Anayejua...
0 Reactions
3 Replies
763 Views
hello JF, mimi sio mchumi,i must declare that first.... ila hili jambo halihitaji uweledi, weka kodi ndogo, itawa attract watu wengi, hapo,utaongeza mapato....... kuliko kuweka kodi kubwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati viongozi waliopo madarakani walivyokuja kuomba kura wanakuja kwa unyenyekevu, heshima na ahadi nyingi zote zikiwa za kutetea wananchi wanyonge. Wakipata ukubwa wanaanza kuja na "decrees"...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Sijawahi kughadhibika kama siku ile nilipopata hii taarifa ya habari kupitia radio mbao ya pale kijijini kwetu... Maneno hayo ya kusema kwetu ni cityhall (babu yangu hawezagi kusema C.. Kwake yeye...
16 Reactions
102 Replies
7K Views
Ningependa kujua huwa kunakua na shida gani kuanzia saa nne usiku mpaka saa tano usiku? Mwanzo nilijua tatizo ni la simu yangu. Lakini baada ya hili tatizo kujirudia kama siku nne mfululizo, ndo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu wadau, Najua humu JF tupo wengi sana tuliopanga katika hizi nyumba zilizopo Uswahilini, mtasema wenyewe kama upo Uswazi. Basi narudi madani na nitaanza ni hichi kitabia kinachonikera sana...
5 Reactions
140 Replies
33K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…