nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,533
- 8,264
Ningependa kujua huwa kunakua na shida gani kuanzia saa nne usiku mpaka saa tano usiku? Mwanzo nilijua tatizo ni la simu yangu.
Lakini baada ya hili tatizo kujirudia kama siku nne mfululizo, ndo nikajua kuwa kunatatizo kwa upande wa Vodacom.
Naomba Vodacom mje mtolee ufafanuzi hili suala maana huenda kuna watu wanapata tatizo hili pasipo kujua nini sababu yake.