NajuaKusoma
Member
- May 8, 2017
- 81
- 60
Ndugu wadau,
Najua humu JF tupo wengi sana tuliopanga katika hizi nyumba zilizopo Uswahilini, mtasema wenyewe kama upo Uswazi.
Basi narudi madani na nitaanza ni hichi kitabia kinachonikera sana mpaka roho inapasukaga ila haifi(UMEME).
Umeme katika nyumba hizi hua ni ugomvi usioisha, yaani unakuta kama kuna wapangaji zaidi ya wawili panatokea choko za watu kutaka kuhesabiana vyombo vya umeme.
Kwanini tunapimiana matumizi kupitia midomo ooh Mara we una Friji oooh unavaa nguo smart unatumia Pasi ooh Mara juisi kila siku sana anatumalizia umeme.
Na Mara zoote Umeme ukikatika unalaumiwa mwenye kauchumi oooh bila flani huu umeme tungemaliza mwezi.
Naamua kuishia hapa ili na waswazi wenzangu waulize, waseme vijitabia hovyo tujirekebishe au tushauriane ila kaswali; "kama unaona nina vyombo vingi vya umeme nani kakuzuia usiwe navyo wewe pia?".