Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,656
- 33,640
hello JF,
mimi sio mchumi,i must declare that first....
ila hili jambo halihitaji uweledi,
weka kodi ndogo,
itawa attract watu wengi,
hapo,utaongeza mapato.......
kuliko kuweka kodi kubwa kama serikali inavyofanya,
then,watu wachache wanalipishwa kodi KUBWA......
hii atmosphere inawadiscourage small investors.....
wanaona serikali itawapokonya kidogo walichonacho.....
dawa ni ku maximize production,wengi naamini wakiwekewa kodi ndogo wataingia kwenye production,na wakiwa wengi means more mapato......
Becky nazingua au?lol