Mwenye uzoefu kuhusu malipo ya adsense Tanzania

Mwenye uzoefu kuhusu malipo ya adsense Tanzania

juty

Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
9
Reaction score
7
Habari yenu,

Napenda kuuliza mwenye uzoefu kuhusu malipo ya AdSense Tanzania kupitia wire transfer, malipo yanakuaje?
 
WESTERN UNION ndo mpango mzima kibongobongo na ipo fasta sana siku hela inaingia unaweza kutoa siku hiyohiyo.
 
WESTERN UNION ndo mpango mzima kibongobongo na ipo fasta sana siku hela inaingia unaweza kutoa siku hiyohiyo.
Lakini Western Union Inalimit Kiasi kuanzia Usd 1000 huwezi kupokea Kwa Western Union unapaswa kutumia Wire Transfer!
 
Back
Top Bottom