Wataalamu wa Adsense Msaada Tafadhari (Western Union)

kiraza

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
353
480
Habari,
Wataalamu Naomba Kujua Ni kiwango Gani Cha Mwisho Kinachoweza kutumwa Kwa Western Union hapa Tanzania. Kwa Mkupuo Mmoja Kutoka Google Adsense. Pia Kama Kutakuwa na Mtaalamu yoyote Anayejua Njia ha Wire Transfer Pia anaweza Kunielekeza niijue.
Ahsante.
 
Mh Nami natafuta sana Hilo Jibu wataalamu na hilo hapa jf nadhani hawapo!
 
Back
Top Bottom