ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Kama jinsi alivyolitibua kwenye sukari na kudai anataka kushusha bei matokeo yake ikapanda na hadi leo chai ni anasa hata ukienda kwa mama ntilie hakuna ule uhuru wa sukari kukaa kwenye kikombe ujihudumie basi kwa hili anarudia historia yake
Ni suala la mafuta ya korie,ni ule muendelezo wake wa kutoa maamuzi kwa kufuata hisia zake na kutokujua hali halisi ya maisha ya hao anaodai ni wanyonge anaowateteaga
Nawahakikishia TRA na bandarini watakomalia hayo mafuta, ndani ya muda ile hali ya uswahilini kununua mafuta robo sijui nusu ya kupima kwenye chupa za soda itakuwa kwishney
kwa madai yake mtetezi wa wanyonge anataka watu watumie alizeti na michikichi au wasage karanga,yangu macho.