Escape one acheni uhuni

Escape one acheni uhuni

uajekundu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2016
Posts
541
Reaction score
461
Habari wanajamvi,
Jmosi ya leo tulivu nikapanga niende escape one kiwanja kimoja maarufu sana mjini, japo kwangu ilikua ni mara ya kwanza..nimeenda na wenzangu walitangulia wakaingia bure mimi nafika naambiwa kuna kiingilio buku 10 nikaona sio ishu nikalipa ilikua mida ya saa 3 kuna kadada kana dharau kapo mlangoni pale hata hakajielewi, kakanipa risiti ua efdimeandikwa nimeingia saa2 nikakauliza huu muda vipi? Kanacheka cheka hakajui hata kujielezea...nikaona sio ishu nikaingia nafika ndani nikaomba menu nikaagiza msosi wao wanaita platter ila hauna hadhi ya plata nikaona sio ishu coz ni mara ya kwanza, nataka kulipa bili muhudumu ananiambia eti karatasi za risiti zimeisha hawezi kunipa risiti ya efd, nikamwambia aache ujinga alete risiti akaleta......yani wahudumu hovyo, chakula hovyo na huduma hovyo siendi tena.
 
Yani pale kunavyotangazwa kakuna lolote, siku wakileta bendi ndio makelele tupu hakuna hata mpangu.. ukienda pale lazima utoke unalalamika!
 
Ka Escape 1 si ndo kama ka Villa Park ketu huku au,,???
 
Yani pale kunavyotangazwa kakuna lolote, siku wakileta bendi ndio makelele tupu hakuna hata mpangu.. ukienda pale lazima utoke unalalamika!
Namie nilienda jmosi niliskia kuna bendi nikajua pana hapen vibaya, kumbe bora ningejiendea zangu glosary ya kitaa
 
Ukitaka kuifaid plata nenda rock city mall... The cask bar utaipenda mkuu full manjam njam
 
Ukitaka kuifaid plata nenda rock city mall... The cask bar utaipenda mkuu full manjam njam
cask ni nooooma, plata yao imeshiba, niliendaga tukala watu 6 na tukashiba ie mbaya.... sasa ile plata ya escape one tulikua watatu ila tulionja tu hamna cha maana tukaenda kushibia mbele.
 
Ahaaaa!!kaka buana hacha kuharibu biashara watu km risti ulipata tatizo ni mda au?? Ulitumia kiasi gan
 
Wakuu plata ndio nini manake sisi wengine tupo mkundi hatujui plata ni nini.
 
Back
Top Bottom