namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 611
Habari wanajamvi !, kuna ndugu yangu anatarajia kuoa mwezi Wa 6 mwaka huu. Sasa hajui aanzie wapi na amalize vipi. Alikuwa anaomba ushauri kwa wale wenye experience na haya mambo ya harusi katika haya maeneo.
1. Nani mwenye jukumu la kuandaa wanakamati ?
2. Je, hao wanakamati wanatakiwa wawe wanandugu tu ?
3. Wanapochaguliwa hao wanakamati wataharifiwa kwa kadi za mualiko ?
Ni hayo tu wakuu natumaini nitapata majibu sahihi katika sehemu hii sahihi.