Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nashindwa kuelewa supreme power ya serikali dhidi ya companies za ving'amuzi hawa ZUKU hawajui la mganga wala nini. Serikali hawajaisikia, wameigomea au nini?
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Jeshi la polisi Mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 14 wa makosa mbalimbali ya kiuhalifu wakiwemo matapeli waliojifanya kuwa ni maofisa ununuzi kutoka Jeshi la Wananchi wa Watanzania (JWTZ) na...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za usiku wadau Nimekuwa nikifuatilia uwekezaji wa mashirika ya hifadhi ya jamii UA serikali like pspf,nssf,nhc,ppf,nhic etc,kwa kweli yamelipuuza na kulitelekeza jiji la mbeya katika...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naombeni mnijuze kama kuna anayejua. Biashara ya kuchimba udongo kule hifadhi ya misitu ya shengena kule same mkoani kilimanjaro na kuisafirisha kutoka kijiji cha mwembe na kwenda nchi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakati mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na mwanawe Johnson Nguza (Papii Kocha) wakiwa nje kwa msamaha wa rais, Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), imeahirisha kutoa hukumu...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Ndugu zangu! Sote tunataka Tanzania ikue kiuchumi, lakini kuna baadhi ya mambo wakati mwingine sioni sababu ya kupoteza fedha bila faida yeyote Kwa taifa; Sote tunafahamu kila wizara ina fungu la...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nchi ya China Ijumaa hii imeionya Marekani kuwa haiogopi vita vya kibiashara wakati huu ikitishia kutoza kodi ya zaidi ya dola bilioni 3 kwa bidhaa kutoka nchini Marekani katika kile...
0 Reactions
3 Replies
935 Views
Leo nimemuomba mama yangu aende akaombe/ ku process Birth Certificate ya mdogo wangu kwa ajili ya kujiunga chuo. Kaenda asbh na kadi ya kliniki, akaambiwa alete cheti cha form 4, akanitahidi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Dubai ni nchi mojawapo inayopatikana bara la Asia ndani ya umoja wa falme za kiarabu(UAE). Kilichonivutia zaidi kuandika thread hii ni kutokana na mambo makubwa ya ajabu yanayofanywa na serikali...
19 Reactions
266 Replies
116K Views
Nimejaribu kujiuliza katika maisha ivi ni kitu gani ambacho huwafanya watu wengi kusahau walipotokea. Hapa nina maana mtu akitokea mtu amefanikiwa au amepata pesa huwa anasahau alipotokea...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Haya mambo yako namna gani? Naomba tujadiliane hapa. Mjadala wetu utaongozwa na vitabu vya :- 1. Matendo 2: 17 - 19. 2. Joel 2: 28 - 29. Kama huelewi, uliza tu watu wapo hapa tutajadiliana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kupaa Bwana ni ukumbusho wa fumbo la Yesu Kristo kupaa katika utukufu wa mbinguni akiwa na mwili wake mzima ambao Ijumaa kuu ulisulubiwa hata akafa akazikwa kabla hajafufuka siku ya tatu...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Ni zaidi ya miezi kadhaa sasa Benki kubwa kama hii website yake haipo hewani wala TPB CMC PORTAL tunayotumia wanavikundi kupata taarifa za akaunti za vikundi vyetu, ni nini shida? anayejua insider...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MAJI KWA WANANCHI KIBAHA, KIMARA & TABATA UBORESHAJI WA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU JUU Shirika la MajiSafi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), inawatangazia...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari wakuu natumai ni wazima Huu uzi ni maalumu kwa ajili ya wale ndugu zetu wa damu ambao hawana dini na wanaeneza taarifa ambazo zinakataliwa na dini zote na akili salama za mtu. Wanasema...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Left Should Stop Equating Labour With Work by Guy Standing on 23 March 2018 Guy Standing It is intellectually excusable for those on the political right to want to restrict the meaning of work...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
Dhambi ni uasi, kila lisilo jema ni dhambi, dhambi ipo isiyo ya mauti, Watu wengi wamewaza kama dhambi haina nguvu katika maisha ya mtu, lakini ukweli ni kwamba dhambi ina nguvu saaana kuliko...
10 Reactions
31 Replies
6K Views
[15/01, 23:08] Baravuga hapo kipengere cha 3 ndo chenye utata tunachotaka sio dates za wao kutoa. Tunataka kujua kwanini yamechelewa? [15/01, 23:12] Baravuga: Sababu ya matokeo kuchelewa ni...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari za jioni? Nimepiga simu ya huduma kwa wateja 0717 379 696 tokea saa 11 jioni mpaka sasa haijapokelewa. Mpaka sasa sijaelewa ni kwanini wametoa namba ya huduma kwa wateja kama awawezi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiukweli Mwaka 2018 umekuwa ni mwaka ambao si salama kwa sisi wakazi wa Mbezi kwa Msuguri yakiwepo maeneo ya Bwaloni, Serikali ya Mtaa, Kaseja, Kwa Mgaya, Masaki, St. Anna, Majengo Mapya ukija...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…