TANESCO Kimara mnakera kitengo cha huduma kwa mteja

Ombudsman

JF-Expert Member
Apr 18, 2012
3,565
3,730
Habari za jioni?

Nimepiga simu ya huduma kwa wateja 0717 379 696 tokea saa 11 jioni mpaka sasa haijapokelewa.

Mpaka sasa sijaelewa ni kwanini wametoa namba ya huduma kwa wateja kama awawezi kupokea na kuhudumia wateja wao.
 
Back
Top Bottom