Nani anajua kilichoikumba TPB bank?

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
329
210
Ni zaidi ya miezi kadhaa sasa Benki kubwa kama hii website yake haipo hewani wala TPB CMC PORTAL tunayotumia wanavikundi kupata taarifa za akaunti za vikundi vyetu, ni nini shida? anayejua insider information please.
 
Attachments

  • Screenshot 2018-03-23 10.13.24.png
    Screenshot 2018-03-23 10.13.24.png
    16.7 KB · Views: 82
  • Screenshot 2018-03-23 10.14.07.png
    Screenshot 2018-03-23 10.14.07.png
    17.3 KB · Views: 47
Ni zaidi ya miezi kadhaa sasa Benki kubwa kama hii website yake haipo hewani wala TPB CMC PORTAL tunayotumia wanavikundi kupata taarifa za akaunti za vikundi vyetu, ni nini shida? anayejua insider information please.
Poor management and probably majungu. Miaka kama mitano iliyopita hii benki ilikuwa inafanya vizuri sana, hata CEO wake akasifiwa sana na kuandikwa kwenye vyombo vya habari. Tatizo sijui kama ni kweli sifa zilizidi akaanza ufisadi au alisingiziwa. Aliondolewa
 
Mkuu mbona umekuwa na haraka kufanya judgement bila kujiridhisha? Hiyo webpage mbona ipo active na inafanya kazi vizuri. Tena ujuwe tpb saivi iko vizuri sana.
 
Ni kweli,
Hapo nyuma nikikua naiona TPB kama bank ya VICOBA
Ila kwa sasa imejitengenezea mazingira mazuri na utendaji kazi umekua wa ufanisi wa hali ya juu.

Hilo tatizo la website sifahamu.
 
siku hizi wameboresha matawi yao yanamuonekano wa kibenki..zamani ilikua kama polisi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom