Mashirika ya Pension ya Serikali hayalitendei haki jiji la Mbeya

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
42,857
49,553
Habari za usiku wadau
Nimekuwa nikifuatilia uwekezaji wa mashirika ya hifadhi ya jamii UA serikali like pspf,nssf,nhc,ppf,nhic etc,kwa kweli yamelipuuza na kulitelekeza jiji la mbeya katika uwekezàji wao mkubwa kwenye majengo ya biashara.
Sio fair kwa mfano nssf kuwekeza majengo makubwa ya kibiashara Kahama,Morogoro na Moshi ambako yako unoccupied na kuacha Mbeya ambako kuna uchumi mkubwa na uhitaji wa office space kuliko huko.Mbeya ndio jiji kubwa kwa kanda ya nyanda za juu.Huko kwa NHIF maana ndio pekee wamewekeja jengo kubwa la kitega uchumi 10 flr,ni vyema na mashirika mengine yaige maana mbeya ya Jana sio ya Leo.Jiji linakuwa ikizingatiwa liko mpakani na nchi za SADC sio kukariri Dar,Arusha,Mwanza,Dom na Moshi tu
 
Back
Top Bottom