kubwi Member Joined Dec 22, 2017 Posts 51 Reaction score 66 Mar 23, 2018 #1 Nashindwa kuelewa supreme power ya serikali dhidi ya companies za ving'amuzi hawa ZUKU hawajui la mganga wala nini. Serikali hawajaisikia, wameigomea au nini?
Nashindwa kuelewa supreme power ya serikali dhidi ya companies za ving'amuzi hawa ZUKU hawajui la mganga wala nini. Serikali hawajaisikia, wameigomea au nini?