Asomaye na afahamu.

Asomaye na afahamu.

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,899
Haya mambo yako namna gani?

Naomba tujadiliane hapa. Mjadala wetu utaongozwa na vitabu vya :-

1. Matendo 2: 17 - 19.

2. Joel 2: 28 - 29.



Kama huelewi, uliza tu watu wapo hapa tutajadiliana juu ya mambo haya.

Kama wewe ni mwovu, endelea sana lakini fahamu kwamba "MUNGU YUKO HAI MILELE, NENO LAKE NI KWELI NA AMINI NA NENO LAKE LIMETHIBITISHWA.
 
Back
Top Bottom