Mm kwa sasa nipo Mjini Singida, Naomba kujua aina na viwango vya solar za M-power ili niweze kuchangua aina na uwezo unaweza kukidhi mahitaji yangu kwani nahitaji hiyo solar,hakika hiyo Solar...
Imefikia mahali nashindwa kuelewa ni kitu gani kinalipata taifa letu - karibu kila nyanja. Naona suala la professionalism halipo tena, watu wanafanya mambo kiyeboyebo hadi unashindwa kuelewa, hivi...
Habari za asubuhi wanabodi nasikitika kutangaza kifo cha ndugu Obadiah Sanga kilichotokea Morogoro, Mikese kutokana na ajali ya gari.
Ndugu Obadiah ndiye aliokuwa mmoja wa warithi na wasisimamizi...
Nimekuwa nikipanda daladala mara kwa mara katika kituo cha Makumbusho na imekuwa ni jambo la kawaida kwa askari wa usalama barabarani katika kituo hicho kuchukua rushwa kutoka kwa madereva na...
Habari za muda huu wanajukwaa natumaini mnaendelea vyema na Majukumu ya kila siku ususani Shughuri za kimaendeleo ili kuinua uchumi wa nchi na mwananchi mmoja mmoja
Kipekee ningependa kuwaomba...
Mimi ni salaried worker.
Nimegundua salaried workers umasikini tunautafta wengenye. Tunajimilikisha current liabilities tukizani ndio ujanja.
Nilikua namiliki gari ambayo kila siku lazima ile...
Nadhani toka December 22, 2017 maji yalipotoka hadi wiki ya pili ya February 2018 ndipo maji yalipotoka tena baada ya Mange Kimambi kupost tatizo la maji Chalinze. Yakatoka kama wiki moja na nusu...
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana iliambiwa kesi ya Aliyekuwa Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake Godfrey Nyange maarufu kama Kaburu ya kutakatisha dola za Kimarekani 300,000 umekamilika...
Kumekuwa na malalamiko kila kukicha kwa TRA pale Bandarini kutoka kwa wafanyabiashara wanaoagiza mizigo kutoka nje ya nchi kuhusu kupandishiwa bei ya kununuliwa biadhaa huko nje kwa kisingizio...
Tabia ya kusimamishwa na traffic kuombwa Leseni halafu ndo anakukagua, akikuta kosa na hana Mashine ya kukuandikia fine, traffic anachukua namba za Leseni na Gari, kisha anakuruhusu ondoke bila...
1. Sina hakika kama Mange ni binadamu wa kawaida kwa yale ninayoyasikia (sort of evidence), halafu hapo hapo unasema mpaka ukutane naye ndio utafahamu ni mtu wa aina gani, halafu unaendelea kusema...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Wilbroad Mutafungwa amesema kuwa watuhumiwa 10 kati ya hao wanaoshikiliwa wanatuhumiwa kwa kosa la mauaji, watatu kwa tuhuma za wizi na mmoja kwa tuhuma za...
Raia wa Taiwan, Han Chuan (61) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara kujibu mashtaka manne ya uhujumu uchumi ikiwamo kukutwa na mapezi ya samaki aina ya papa ndani ya meli ya uvuvi...
Itapendeza kama kutakuwa na forum ya kuhusu tamaduni,mila na desituri za makabila yetu ili tuweze kuzijua,kuzienzi na kuzidumisha,hasa ikizingatiwa kuwa zimeanza kupotea kwa kasi kwa sasa.
Nyanja...
Jana wakati Rais Magufuli anaongea na wafanyabiashara na wenye viwanda alitoa nafasi kwa wadau wengi kuongea na hakika wengi waliongea yanayowahusu kuhusu viwanda na biashara zao hasa kero...
1. Yule mtu aliyekuwa anaiibia serikali Shs Milioni 7 kila dakika, kesi yake ilifunguliwa kwenye mahakama gani?
2. Vile vichwa vya treni vilivyosukumwa na maji hadi ufukweni kwenye bandari yetu...
Watangazaji wengi wamekuwa wakimuuliza Mh Aden Rage kuhusu suala lolote likitokea kuhusu mpira wa miguu na mara chache sana Mzee Said Hamad El Maamry wa CAF.
Aden Rage ndiyo mtaalam wa sheria za...
Nimeona TFF wakiwapanga marefa wa hapa hapa nyumbani mara zinapocheza mechi za kimataifa kwa Taifa stars,Serengeti Boys,Twiga stars na Ngorongoro heroes hapa nyumbani.
Na kumekuwa na maamuzi hao...
Habar za majukumu
Ndugu zangu nimepata kidogo fursa ya kwenda kupata elimu kidogo nje ya nchi kwa ufadhiri wa nchi flani hivi lakn sina PASSPORT sasa dhumuni la kuandika Uzi huu nikutaka kujua...