Kwanini Redio nyingi huwa wanamuuliza Aden Rage tu kupata ufafanuzi wa mpira wa miguu

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Watangazaji wengi wamekuwa wakimuuliza Mh Aden Rage kuhusu suala lolote likitokea kuhusu mpira wa miguu na mara chache sana Mzee Said Hamad El Maamry wa CAF.

Aden Rage ndiyo mtaalam wa sheria za mpira wa miguu hapa nchini au kwasababu tu alikuwa kiongozi wakati wa FAT.

Hatuna wachambuzi wengine wa soka kisheria zaidi ya Aden Rage?
 
Mbali ya kuwa kiongozi huyu Aden nasikia alikuwa midfielder mzuri sana enzi zake hivyo anazijua sheria za mpira kama mchezaji na pia kama kiongozi.

Rage amecheza simba
Ameongoza Fat na simba...

Na kingine amekuwa akifunga safari caf na FIFA kukata marufaa

Mwisho anaongea sana ndicho kikubwa wanachompendea kuliko vyote,m.rage kama chiriku
 
Rage hana tofauti na shishi baby amejaaliwa sana kuongea nafikiri hii ni nature ya watu wa tabora
 
Kujua mambo ya Mpira wa miguu kunahitaji ujanja ujanja na Rage ni mjanja mjanja na kwa kutumia ujanja ujanja wake aliweza kuongoza chama cha soka na klabu ya simba kwa nyakati tofauti.. cha zaidi huyu mtu kacheza mpira pia... kuna jamaa mmoja wa kuitwa MADEGA alikosa sifa za ujanja na umjini mjini alijaribu kuingia kwenye uongozi lahaulaa!!.. soka na ushamba haviendani bana.. jamaa hata ukimuuliza kwenye mechi kuna waamuzi wangapi wa kati anaweza kukwambia watatu.. ushamba ushamba hauendani na soka bana.. acha rage aendelee kutoa elimu ya soka tu.. ni mjanja wa mjini
 
Mbali ya kuwa kiongozi huyu Aden nasikia alikuwa midfielder mzuri sana enzi zake hivyo anazijua sheria za mpira kama mchezaji na pia kama kiongozi.
Midfielder mzuri ni yeye nchi nzima? mbona viongozi wengi tu wamecheza mpira hapz tz
 
Kujua mambo ya Mpira wa miguu kunahitaji ujanja ujanja na Rage ni mjanja mjanja na kwa kutumia ujanja ujanja wake aliweza kuongoza chama cha soka na klabu ya simba kwa nyakati tofauti.. cha zaidi huyu mtu kacheza mpira pia... kuna jamaa mmoja wa kuitwa MADEGA alikosa sifa za ujanja na umjini mjini alijaribu kuingia kwenye uongozi lahaulaa!!.. soka na ushamba haviendani bana.. jamaa hata ukimuuliza kwenye mechi kuna waamuzi wangapi wa kati anaweza kukwambia watatu.. ushamba ushamba hauendani na soka bana.. acha rage aendelee kutoa elimu ya soka tu.. ni mjanja wa mjini
hahahahahahahah....du waamuzi watatu kati....
 
Mbali ya kuwa kiongozi huyu Aden nasikia alikuwa midfielder mzuri sana enzi zake hivyo anazijua sheria za mpira kama mchezaji na pia kama kiongozi.
BAK
Unasikia, Mimi nasisitiza maneno yako kwa kumwona Aden Rage akichezea Coop united ya mwanza miaka ya sabini na akina Martin Darey R.I.P
Na kuendea na fani hiyo uchezaji mjumbe wa FAT mkoa na vitu Vingi kama hivyo hadi leo!
Said Elmaamry, kweli ni kiongozi wa CAF lakini amebobea mwenye Sheria si hasa mchezo wa mpira
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kujua mambo ya Mpira wa miguu kunahitaji ujanja ujanja na Rage ni mjanja mjanja na kwa kutumia ujanja ujanja wake aliweza kuongoza chama cha soka na klabu ya simba kwa nyakati tofauti.. cha zaidi huyu mtu kacheza mpira pia... kuna jamaa mmoja wa kuitwa MADEGA alikosa sifa za ujanja na umjini mjini alijaribu kuingia kwenye uongozi lahaulaa!!.. soka na ushamba haviendani bana.. jamaa hata ukimuuliza kwenye mechi kuna waamuzi wangapi wa kati anaweza kukwambia watatu.. ushamba ushamba hauendani na soka bana.. acha rage aendelee kutoa elimu ya soka tu.. ni mjanja wa mjini
Ile ilikuwa "gateway to parliament of Tanzania" japo ikabumba
 
Na ndio maana mpira upo hapo hapo waliofanya soka lisikue ndio hao tena kila kukicha wanaulizwa...
 
Ile ilikuwa "gateway to parliament of Tanzania" japo ikabumba
Tafadhali usiongee vitu kwa assumptions Mimi personally namjua Rage akicheza Mpira 70'S na kuendelea na fani kiyo mpaka Leo! Anachofanya katika mchezo was Moira habahatishi!
 
Hujanielewa! Hapo Mi namzungumzia Iman Madega!
 
Tafadhali usiongee vitu kwa assumptions Mimi personally namjua Rage akicheza Mpira 70'S na kuendelea na fani kiyo mpaka Leo! Anachofanya katika mchezo was Moira habahatishi!

jamaa alimaanisha MADEGA mkuu ...mwanasheria asiye na rekodi ya kushinda kesi!!
 
Back
Top Bottom