Nimegundua salaried workers umasikini tunautafta wenyewe

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
Mimi ni salaried worker.

Nimegundua salaried workers umasikini tunautafta wengenye. Tunajimilikisha current liabilities tukizani ndio ujanja.

Nilikua namiliki gari ambayo kila siku lazima ile mafuta ya ya karibu 30,000. Kwa mwezi ni kama 900,000.

Hivi karibuni nikaiuza, nikaanza kutembelea kibaby walker cha girl friend wangu (ist), gari inakula mafuta maximum 10 kwa siku. Service ina gharama kidogo, the same utility.

Nimejuta sana kwa nini nilikua namiliki gari inayonifilisi wakati ningeweza kumiliki gari ndogo ya ruti zangu ndogo ndogo za hapa town.

Sio mimi tu, salaried workers wengi kama mimi wanatikitia kwenye tope la umasikini kwa kupenda vitu vya anasa na visivyo na msingi, ambavyo zaidi ya kutusaidia vinasaidia kutufilisi.

Ushauri wa salaried workers wenzangu, tuachane na vitu vinavyotuongezea umasikini, tuwekeze kwenye assets zitakazotusaidia huko mbeleni. Bora uchekwe unamiliki baby walker kuliko kuja kuchekwa huko mbeleni huna kitu umebaki na gari kubwa.

Kazi zenyewe hazieleweki, unaweza kua permanent and pensionable lakini ukafukuzwa kazi muda wowote.

Tujifunze kupunguza current liabilities.

Huu ni ushauri wa bure tu. You can either take it or leave it.
 
Hiyo gari ya kutumia TZS 30,000 unaishi umbali gani toka nyumbani mpaka kazini kwako? Kwanini usipange karibu na kazini kwako mfano kama unafanyia kazi maeneo ya posta basi tafuta nyumba maeneo ya Lumumba au Fire ili uende kazini kwa miguu
 
Nani alikwambia umiliki gari linalokula mafuta ya laki tisa kwa mwezi, wengine tulikuwa tunajuwa siku nyingi sana, kwa taarifa yako hata hiyo ist ni gharama mimi natumia bajaji
 
ila kama unamwili wa le mutuz afu unaendesha kigali kidogo lazima uchekwe maana wakati wa kuingia ndan ya gari lazima awepo mtu wakukusukumia ndani unapokwama na unapotoka lazima awepo wakukuvuta
 
Nunua baisikeli, inatumia ugali wako tu na ni zoezi tosha. (Usiseme dar hakuna sehemu ya kupita kwa baiskeli)
 
Mi nahis haijalishi gari uliyonayo ndio uchekwe ila utachekwa kulingana namanisha unayoshi kama hayaendani na maisha yako halisi maana binadam wanajua sana kupima
 
Back
Top Bottom