ong'wafaza
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 262
- 115
Itapendeza kama kutakuwa na forum ya kuhusu tamaduni,mila na desituri za makabila yetu ili tuweze kuzijua,kuzienzi na kuzidumisha,hasa ikizingatiwa kuwa zimeanza kupotea kwa kasi kwa sasa.
Nyanja kama za utawala,malezi n.k zingeweza kutolewa na wanajamvi kwa undani zaidi kwenye forum hii.
Hili ni pendekezo na maoni yangu tu.
Nawasilisha.
Nyanja kama za utawala,malezi n.k zingeweza kutolewa na wanajamvi kwa undani zaidi kwenye forum hii.
Hili ni pendekezo na maoni yangu tu.
Nawasilisha.