Nimekata tamaa na bodi ya uhasibu

Nimekata tamaa na bodi ya uhasibu

beco

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
1,339
Reaction score
787
Kwakweli kama kuna vitu vilivyonichosha mwaka huu ni juu ya hii bodi ya uhasibu ....nikikumbuka hela yangu nilivyoipata Kwa shida na kusoma review classes Kwa tabu Leo mnashindwa kutoa matokeo kwakweli hata mkitoa siyataki tena hayo matokeo tokea December mpaka Leo tunaelekea mwezi wa nne kweli yaani mmekosa alternative ya kafanya tupate matokeo,na km ndo hivyo kwnn mnaendelea kuwafanyisha mitihani tena wengine may ?..mmeboa na mmepoteza sifa mlizokuwa nazo.
 
Back
Top Bottom