Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

Lachaz pub, Sinza Mori ni chimbo la wezi wa simu

Ni aibu sana kujiita wa ' Dar es Salaam ' halafu tena ukawa unaibiwa Simu Kizembe Kizembe tu. Jamani rudini tu kwenu huko Mashambani / Vijijini Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba na mtuachie wenyewe wenye huu mji wetu ambao tokea tuzaliwe hapa hapa ' downtown ' miongo mitatu na nusu iliyopita hatujawahi si tu kuibiwa bali hata tu ' Kuviziwa ' na Wezi, Vibaka na Majambazi na huwa mara kwa mara tunakatiza maeneo yao hayo hayo lakini badala ya kutuvamia na kutupora utasikia tu wanaamkia Shikamoo ' Braza ' GENTAMYCINE huku wakiwa wanatetemeka.
 
Tatizo unalewa sana ...punguza gambe maana unajiover drink.... Juzi kati nimktuna na wewe unayumba yumba.

wezi wanawategeshea nyie mnaolewa kupita kiasi ila pole sana.
 
Ni aibu sana kujiita wa ' Dar es Salaam ' halafu tena ukawa unaibiwa Simu Kizembe Kizembe tu. Jamani rudini tu kwenu huko Mashambani / Vijijini Kyaka Nkunde na Ikupilipa Nkoba na mtuachie wenyewe wenye huu mji wetu ambao tokea tuzaliwe hapa hapa ' downtown ' miongo mitatu na nusu iliyopita hatujawahi si tu kuibiwa bali hata tu ' Kuviziwa ' na Wezi, Vibaka na Majambazi na huwa mara kwa mara tunakatiza maeneo yao hayo hayo lakini badala ya kutuvamia na kutupora utasikia tu wanaamkia Shikamoo ' Braza ' GENTAMYCINE huku wakiwa wanatetemeka.
Watoto wa Dar mnashinda kwenye vigodoro Pub mzijulie wapii[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Isijekuwa ni mikakati ya kuua biashara za watu tu maana huyu jamaa kwa sasa naona mita ya sinza kawashika. Ukiwa mzembe na mali zako popote pale hata kama ni hotel gani au nyumbani kwako utaibiwa ulichonacho tu, unaenda bar ushalewa bado unaendelleza misifa ya kulaza simu mezani kwa nini wenye njaa wasipite naye?

Tuambiane ni bar gani utaacha vitu kizembe watu waviangalie tu? Vibaka nao wanakuja bar kula bata wakishatoka kupiga kitaa kwa hiyo be sure popote unapokunywa nao wapo.
 
Pole sana mkuu, mm nilipigwa cm club ya rode sgd yan napo ni km la chaz
 
Isijekuwa ni mikakati ya kuua biashara za watu tu maana huyu jamaa kwa sasa naona mita ya sinza kawashika. Ukiwa mzembe na mali zako popote pale hata kama ni hotel gani au nyumbani kwako utaibiwa ulichonacho tu, unaenda bar ushalewa bado unaendelleza misifa ya kulaza simu mezani kwa nini wenye njaa wasipite naye? Tuambiane ni bar gani utaacha vitu kizembe watu waviangalie tu? Vibaka nao wanakuja bar kula bata wakishatoka kupiga kitaa kwa hiyo be sure popote unapokunywa nao wapo.
Mzee baba...Mimi nmeanza kwenda lachaz wakati inafunguliwa napajua vizuri pale....Juzi wamemlamba hadi DJ Choka,na niiue biashara ya mwenye lachaz ili iweje wakt mm sina biashara ya mtindo huo?na sio uzembe wa mali zako Lachaz kilikua kijiwe cha wastaarabu huwez kukuta mtu kaibiwa wala gari kuibiwa vifaa kama bar za uchochoron zilivyo lakn nenda lachaz utanipa majibu(kama hata unapajua)
 
Ukitokea Meeda unavuka Shekilango Road then iko Upande wa Kushoto kama unaenda Wanyama Hotel/Johannesburg Hotel lakini kule hufiki,
Jina ndio lilikua linanipa shida, nishapajua.. Pole mkuu!!
 
Lakin sio kwa kawaida kama tukio limekua likiwatokea wengi na siku za karibun tuu ..
Sehemu kama hizo majizi,wamalay,matapeli wote lazima wawepo kuwinda watu kikubwa ni kuwa makini usilewe sana,usiache Sm mezani,usikae na watu usiyo wajua

Ova
 
Back
Top Bottom