Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wakuu? Najua hapa JF ni kisima cha maarifa Naomba kujua budget accommodation near Dubai international airport (DBX) Nina connect flight arrive 17:00,then departure next day around...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana bodi, Toka nimestaafu mwaka 2016 mwezi wa 10, hadi leo mwaka 2018 mwezi Machi sijalipwa mafao yangu. Nafuatilia PSPF kila siku wanasema hawajaletewa pesa toka hazina, mimi ni mwalimu...
8 Reactions
75 Replies
8K Views
Kila siku iendayo kwa Mwenyezi Mungu nchini Tanzania Watoto 90 wenye Umri kati ya miaka 15 hadi 24 huambukizwa Virusi vya UKIMWI ( Dally Kimoko Virus ) nchini Tanzania. Narudia tena kusema ili...
7 Reactions
82 Replies
8K Views
Ni Waumini wazuri sana na wa Kutukuka wa KKKT. Sijawahi kuona Wakikosa Ibada zozote za KKKT. Wanafuata maadili mema kabisa ya KKKT. Japo ni wana KKKT ila wanapashwa kuigwa na wale wa Madhehebu...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Sasa huyu muajiriwa wenu kaandika WAKORONI kwenye kipindi ambacho huwa naamini ni makini...mnatuangusha watazamaji...au mmeajiri mZulu!
0 Reactions
4 Replies
905 Views
Historia ya ukristo wenyewe Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar. Huko walijenga...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kongamano la biashara lililoandaliwa na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) limefanyika jijini Dar es salaam na kuzungumzia mambo kadha wa kadha hususani fursa katika bomba la mafuta la...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Source : Mwananchi
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za leo wanajamvi, Pamekuwepo na tabia ya wazazi kuwapa majina watoto kadri ya vile wanavyoona wao ni sahihi, kuna baadhi ya wazazi huwapa watoto majina kutokana na matukio au umaarufu wa...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Toka lini chura akamzuia ng'ombe kunywa maji?! Ng'ombe huzipuuza kelele za chura kila awapo na kiu ya maji. Vikelele na wafanya vikelele hivyo km wanavyojidanganya kwamba watasikilizwa;wamenoa...
5 Reactions
24 Replies
6K Views
Ilikuwa raha
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Dar es Salaam. Unafanya kazi gani? Huenda kazi yako ndiyo chanzo cha msongo wa mawazo ambao unaweza kukusababishia maradhi mbalimbali yasiyoambukiza ikiwamo shinikizo la damu, kisukari na mgongo...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
1. Hewa (oxygen ) 2. Maji 3. Chakula Vitu vingine ni mbwembwe tu japo kujamiiana ni jambo zuri endapo litatumiwa kwa lengo la kuzaliana na sio starehe Amini naambiwa, endapo mwanadamu atakosa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Hii ni Afrika Kama wewe ni mfanyabiashara au kiongozi wa dini kuwa makini na ukosoaji wa wazawazi kwa serikali. Nchi zetu za kiafrika ni changa sana kisiasa uwa wanatabia ya kushughulika na...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
Kuna malalamiko mengi, kuwa watanzania hatupendi kusoma. NI KWELI. Ukitaka kumficha maarifa mtu mweusi maarifa yaweke kwenye kitabu. NI KWELI PIA. Waafrika tumekuwa kwa kupigiwa stori, hadithi na...
1 Reactions
5 Replies
836 Views
Watafiti huko nchi zilizoendelea wamesema kwamba Watu ambao hupenda kupiga Picha za Kisasa za ' Selfie ' mara tatu na kuendelea kwa Siku huwa na Ugonjwa wa akili ambao Kitaalam unaitwa ' Selfitis...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ni ya mwaka jana sijui juzi lakini embu angalia kiburi cha huyu kijana,jaaamani%$%#$%&^%&%^:(:mad::mad::eek:
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MUNGU HASEMI IVI, JE NANI ASEMA “KIJANA NI TAIFA LA KESHO”? Habari zenu wapendwa, poleni na majukumu ya hapa na pale, naamini Mungu yu mwema kila leo. Naomba mnisaidie kuelewa kwa upana nadharia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
JE, KUNA TOFAUTI GANI KATI YA KADINALI NA ASKOFU? 'Canon Laws' ambazo ibara zake hutajwa hivi, Can. 381 na kadhalika zinatosha kumwelewesha yeyote muundo wa Kanisa Katoliki. Zinataja mamlaka ya...
22 Reactions
74 Replies
12K Views
Mwaka huu na ujao sio mzuri wa kukopeshana pesa ,maana mtazinguana mpaka baasi kwenye kurejesheana. Kuna mtu nimemkopesha pesa imefikia hatua namtumia ujumbe whàtsapp anausoma afu hàjibu kitu...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…