Ilala, Dar: Kutema makohozi ovyo ni marufuku

Ilala, Dar: Kutema makohozi ovyo ni marufuku

whitehorse

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2009
Posts
2,572
Reaction score
4,455
IMG_2195.JPG




Source : Mwananchi
 
Kuna watu wataleta siasa hapa lakini utemaji hovyo makohozi ni tabia inayowakera wengi. Kwa wagonjwa wa makohozi watembee na makopo ya kutemea makohozi.
 
Mmmmhh huko Ilala,kkoo palivyo pachafu hivyo na mamaji ya chooni kwenye chemba zilizoziba usiteme uchafu???
HAPA NI BORA TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA NA HAYO AMA WAREKEBISHE KWANZA
 
Hata kujamba kwenye daladala inatakiwa pia wapige marufuku, tatizo itakuwa kumjua aliyejamba, inabidi tuwe tunanusana mpaka tumpate mhusika aliyechafua hali ya hewa
 
ukweli watemaji makohozi na mate hovyo, wanakera inabidi wawe wanawekwa ndani hata masaa 48
 
Wengine ni ugonjwa, hawawezi kukaa masaa mawili bila kutoa kikohozi. Kuna watu wataingiza pesa kwa fursa hiyo.
 
Nadhani iwe pia ni marufuku kukohoa. marufuku isiwe ya kutema makohozi tu.

Faini iwe

Kukohoa - 25,000
Kutema makohozi - 25,000


Wachangiaji wengi humu wanaonyesha huwa wanameza makohozi. Hongera zenu kushangilia matamko
 
Tunakoelekea tutakatazana kutoa jasho. Hahaaaaaaaa
 
Si rahisi sehemu kama city mall au pspf au hata ppf Tower, au hoborview tower, mtu akatema makohozi, ukiona mtu anatemea sehemu makohozi ujue sehemu ni chafu.
 
Back
Top Bottom